Mume anapokataa kuvaa pete ya ndoa

Mume anapokataa kuvaa pete ya ndoa

Wanaume wengi hatupendi kuvaa Pete, binafsi naona kama fashion au urembo. Wengine hawavai kutokana na kazi wanazofanya. Lakini haijalishi kama kutovaa Pete ndio mwanaume anaisaliti ndoa yake.

Lakini pia ninachokiona kwa kiasi kikubwa ni mazoea, wanaume wengi hatuna mazoea ya kuvaa Pete hivyo tunaona kama utumwa
 
Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.

Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.

Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.

Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Mimi ya kwangu ilipotea katika mazingira ya kutatanisha na kiukweli nilikuwa sijisikii poa kuivaa. Wife kasema kachoka na anajua nilivyo mwaminifu now katulia. Ninaamini ndoa ni maridhiano na uaminifu haujengwi kwa uwepo wa pete. Kibaya zaidi siku hizi uvae ama usivae majaribu yatakufika tu kikubwa ni kujitambua na kuchukua nafasi yako ipasavyo
 
Kuna mambo mengine uki reason sana utakuta hayana mantiki.

Wanandoa wengi pamoja na kuvaa pete zao lakini bado wana misbehave sasa ipi bora anayevaa pete halafu ana misbehave au yule hasiyevaa pete lakini yuko very faithful kwenye ndoa yake.
 
Binafsi sitokaa nikavaa Pete kama utakataa kuishi na mimi kisa pete tembea mbele wanawake ni wengi sana
 
Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.

Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.

Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.

Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Kawaida tu, mimi bibie alikuwa anamind mwanzoni baadaye akanizoea.

Lakini sijui nyie wanawake mnaamini pete ndio upendo.
 
Wengine nature za kazi zinabana. Kama mume ametulia kuwa na amani ni wako. Maana mtu anaweza ondoka na pete akizunguka nyuma ya nyumba yenu anaivua na kwenda kubanjuka
 
Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.

Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.

Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.

Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Ndoa inafungwa rohoni na sio Pete hata uvae vidole vyote ikiwa rohoni husadifu na kukubaliana nahali kuwa umeowa haisaidii kitu. Na kwa taarifa yko utafiti unaonyesha wanandoa ndo wanaongoza kwa maambukizi ya virus vya ukimwi
 
Upendo, hukaa moyoni, si kidoleni, Pete mbwembwe tu.
 
Mimi naona pete ndio zinaongoza kuletea wake zao wanaovaa matatizo na vitimbi. Bora hasivae tu aonekane kama vile hana msimamo wa nyapuz hata kama ameoa..
Pete muhimu tena lazima mvae kwenye shughuli za maana mkiwa pamoja, au mmoja wenu atakapoona itafaaa.. hapo kuna mengi.
Mwisho wa siku pete haibebi kuonyesha ya kiukweli ya wanandoa.. pambo tu.. muhimu ni ya mioyoni mwenu.
pete ina faida hasa kwenu
mtu akiona mdada kavaa pete ya ndoa mawazo ya kutinduliwa mtaro yanakuja lazma ufanye maamuz sahihi kabla hujageuzwa shoga so wasumbufu wanabaki wachache

ila kwetu sie wanaume,,pete sizani kama zinawatisha nyie labda kwa wachache wanaojielewa wasiopenda kupotezewa mda
 
Kusema ukweli he is a husband material na amebeba majukumu yake yote, mke akiridjia hakuta kuwa na neno na pete yake ameihifadhi
Unazunguka sana dia Mme ambae hataki kuvaa Pete, tiyari ana mke mwingine mafichoni na hataki kumweleza ukweli. Basi anajifanya kuwa husband material, kumbe ma.la.ya tu
 
Screenshot_2017-10-29-16-48-04.jpeg
Je wanaume waislam wanaruhusiwa kuvaa pete ya ndoa?
 
Back
Top Bottom