Mume anapokataa kuvaa pete ya ndoa

Mume anapokataa kuvaa pete ya ndoa

Kwa hiyo na mwanamke akiamua hapendi kuvaa Pete maisha yanakuwa rahisi. Bi dada achukue zote mbili akayeyushe atengeneze mkufu na Hereni za maana. Kama Pete zilikuwa kubwa anapata na bracelet na kikuku kabisa.
Uaminifu na upendo hutoka kwenye nafsi ya mtu wala sio kwenye pete kidoleni wapo wanaovaa pete lkn ni wasaliti, mi sioni tatizo hapo.
 
dadangu mfano mimi sivai pete sababu nimecopy life style ya wazazi wangu sikuwahi kuwaona wamevaa pete za ndoa japo kwenye picha wanaonekana wanavishana pete mbele ya baba mchungaji!!sidhani kama kuna issue sana ila kinachotakiwa ni maridhioano katika hili kwa wahusika wenyewe
 
Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon.

Mmetoka tu reception bwana harusi anapovua suit yake anavua na pete na anakwambia kabisa hawezi kuvaa pete maishani mwake lakini anaahidi kuwa mume bora.

Pamoja na kuwa havai pete, face book profile yake ameweka picha yenu ya harusi na status amechange kuwa married.

Hii imekaaje na wewe utaichukuliaje?
Dada yangu Sky Éclat, sijaoa ila sioni sababu ya Pete kua kesi kubwa kama haijavaliwa!

- kuna watu hawana mazoea ya kuvaa vitu aina ya pete au mikufu. Mimi ni mmoja wao. Yani nikivaa Pete naona kama inanibana tu nakua uncomfortable. Inawezekana ukakutana na mtu wa aina hii.

- Pete sio uthibitisho wa uaminifu, watu wanachepuka wakiwa na pete zao vidoleni. So, kama mtu ni muaminifu ataendelea kua muaminifu tu hata bila pete. Na kama ni kicheche, Pete haitamzuia.

Hivyo basi, ni vema kufahamu aina ya mtu ulienae kuliko kuforce hivi vitu vidogo vidogo.

Sema psychologically, wanawake mnathamini sana hivi vitu vidogo vidogo. And that is where the problem arises!
 
Wazaz wangu ndoa yao ni miaka 31 sasa hivi toka nakua na akili sijawai waona na pete vidoleni mwao.kuvaa pete au kutovaa haibadilishi chochote
 
Commitment sio kuvaa pete. . Tuna waume hawavui pete lakini they cheat left and right kama vile wana wadudu wanawatekenya
]
IMG_20171029_122627.jpg
 

Attachments

  • IMG_20171029_122658.jpg
    IMG_20171029_122658.jpg
    50.8 KB · Views: 55
Mimi ni mmoja kati ya wasiopenda kuvaa vitu kama hivo mikononi na shingoni,kwahyo nadhan hata nikioa nitakuwa kama ndugu yangu huyo, mm navaa saa peke yake mkononi basi,
 
Pete inasababisha kupigwa mizinga sana
 
Wewe tena mshukuru ambaye hajavaa pete maana wadada wa saa hvi wengi wanapenda sana wanaume wenye pete maana ule unakuwa uthibitisho kuwa kaoa na hata wakiwa nae hata mbana bana
Hii ndo point wanandoa wengi hawatakagi kuikubali
 
Nikivaa pete nashindwa kabisa kupiga game nje huku nimevaa pete ya ndoa so huwa na vua na kuweka vizuri siku moja moja bana si akapotea tafuta tafuta na wewe chimba kizima hamna nikahisi yule binti atakuwa amenifanyia mchezo wiki mbili nzima hatuwasiliani naye wife kawa mbogo akahisi nimeshafanya usaliti kumbe niliacha kwenye gari.
 
Kwani ina credit gani Pete kwamba ndo ndoa iko salama? Mkinijibu ntawauliza maswali mengne
 
Hakuna ndoa hapo, yaani ndoa ikisha kuwa na masharti basi tena
 
Wana
Hakuna wanawake malaya kama wake za watu, miye wa kwangu sijui mienendo yake kwa sababu tabia ya kumfatilia mwanamke niliacha miaka mingi.

Maamuzi anayo mwenyewe ni jukumu lake kujilinda hata simu yake siigusi kamwe.
mkuu wake za watu walikuwa na neno lao MBA Married But Available wakimwona wanaemzimikia
 
Upendo uko ndani ya roho ya mtu bt cyo pete kwani hakuna mwanamke ambae anamkubali mwanamme mwenye pete mkononi
 
Sipendi Vito ( mapambo mapambo)- sipatani navyo, hata mke wangu hajishughulishi navyo kiviiiiile. Vinanipa taabu flani ambayo inabidi ikupate ili upate maelezo yake yaliyo sahihi.

The Lord of the rings
 
Back
Top Bottom