Mimi ni mwanandoa na sivai pete, kucheat ni tabia ya mtu.Kwenye jamii yetu ya sasa ukiwa huna Pete inamaana bado uko available. Sasa Munro kuonyesha kuwa yuko availabe ni kasheshe
Mkuu wewe ni mtaalamu, asante sanaMimi ni mwanandoa na sivai pete, kucheat ni tabia ya mtu.
Kina dada unajuwa wazi huyu ni paroko na bado unaenda kumvulia chupi huku ukijuwa wazi siyo sawa.
Take it from me, mapenzi au hayapimwi kwa kuvaa pete, kama ulikuwa unaamini hivyo badili mtazamo wako kuanzia leo.
Some years back nimeshawatafuna wadada kadhaa na pete zao za ndoa.
Enzi za JK hotel nyingi za Sinza wateja walikuwa ni wake za watu wanaliwa muda wa lunch time, wakienda lunch wanaingizwa room vibosile wanapiga magoli ya faster wanaoga wanajipulizia perfume wanarudi ofisini, hii ndio siri ys biashara ya mikoba ya wanawake kupanda chati maana humo ndio wanaweka vipodozi vyao standby.
Hakuna wanawake malaya kama wake za watu, miye wa kwangu sijui mienendo yake kwa sababu tabia ya kumfatilia mwanamke niliacha miaka mingi.Mkuu wewe ni mtaalamu, asante sana
Si wanatuaminisha uhusiano wa madini na mauza uza,na kama unavyojua bahari pia inasifika kwa mauza uza so yawezekana hubby wako nayo ikivuliwa kimauza uza na chunusi wa coco beach[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm wangu alijidai imepotea baharini alipokwenda kuogelea kinachonishangaza hajawahi kuivua tangu siku ya ndoa na haivuki imemkaa kidoleni baharini imetokaje
Hilo ni kwa wale wenye nia ovu. Uvae au usivae hiyo pete kama una lako jambo utalifanya tu. Kuna wanawake huku maeneo tunayoishi wanajua kabisa nina mke lakini ukifanya utani wenye ka-ukweli wanakutunuku papuchi. Hivyo basi, hoja ni nia tu!Hakuna excuse ya kutovaa pete zaidi ya ushenzy na uhuni!!!!