Mume amburuza mke mahakamani baada ya kumfumania

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
9,060
12,640
Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha akaenda kufungua kesi mahakamani, kesi imesikilizwa mke na mgoni wameamriwa ama walipe faini ya laki 3 Kila mmoja ama waende jela miezi 6, mgoni kafanikiwa kulipia laki 3 na juachiwa huru ila mke kashindwa kulipa na hivyo ameamriwa na mahakama kutumikia kifungo Cha miezi 6 jela.
 
Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha akaenda kufungua kesi mahakamani, kesi imesikilizwa mke na mgoni wameamriwa ama walipe faini ya laki 3 Kila mmoja ama waende jela miezi 6, mgoni kafanikiwa kulipia laki 3 ila mke kashindwa kulipa na hivyo ameamriwa na mahakama kutumikia kifungo Cha miezi 6 jera.
jela
 
Safi kiroho safi kabisa..ila hapomwamba halikuwa hampendi mkewe acheni kabisa kuhusu fumanizi..
 
Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha akaenda kufungua kesi mahakamani, kesi imesikilizwa mke na mgoni wameamriwa ama walipe faini ya laki 3 Kila mmoja ama waende jela miezi 6, mgoni kafanikiwa kulipia laki 3 ila mke kashindwa kulipa na hivyo ameamriwa na mahakama kutumikia kifungo Cha miezi 6 jera.
Daah
Mke anaenda kuwa mboga ya bwana jela miezi 6. 🤣🤣🤣
 
Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha akaenda kufungua kesi mahakamani, kesi imesikilizwa mke na mgoni wameamriwa ama walipe faini ya laki 3 Kila mmoja ama waende jela miezi 6, mgoni kafanikiwa kulipia laki 3 ila mke kashindwa kulipa na hivyo ameamriwa na mahakama kutumikia kifungo Cha miezi 6 jera.
Yaani amekula mkewe na akafanikiwa kulipa faini, harafu mkewe akabaki gerezani?🤔🤔
 
Back
Top Bottom