Mume aingia chumba cha gesti bubu kininja, ajeruhi

Mume aingia chumba cha gesti bubu kininja, ajeruhi

Moja ya adhabu zinazotolewa kwa wazinzi[emoji651]
 
Mnh.. Michepuko sio dili. Washukuru Mungu wamepona na waache uzinzi sasa! Cha!
 
Hahahaha ni ulofa kwa mwanaume kumjeruhi au kumuua dume mwenzio kisa nyapu wakati kitaa zipo tele

Unajua hujui kwa nini wanandoa wanachukua uamuzi huo! Siyo Nyapu tu ndugu zangu bali kuna investment kubwa mtu anaiweka kwa mume au mke wakikaa wote kwa muda mrefu. Mfano unakuwa umeishasoma tabia za mwezi wako, unaamini atakuzika au utamzika (social Security).

Mmejenga pengine nyumba, biashara etc kwa pamoja. Kwa usawa wa Magu, huwezi kuijenga tena. Aidha mmezaa watoto ambao kwao wanapenda baba na mama wawe wote. Hayo ya nyapu ni madogo.

Kwa kawaida hulka ya binadamu ni kuwa anayeikunja K ndiye anamwamini na kumuona yu karibu yake, vile vile anayempatia k akaifukunyua kiroho safi ndiye wa maana kwake. Hapo huoni kwa nini dume lilifanya hivyo.

Kuna umri unaweza sepa ukaanza upya ila kuna umri kuchapiwa kunakuwa ni siri ya ndani ila mgoni lazima umtatue marinda maana anayekulia mkeo sawa na kukutatua marinda. Nayazungumzia haya kwani wengine yalitupata
 
Unajua hujui kwa nini wanandoa wanachukua uamuzi huo! Siyo Nyapu tu ndugu zangu bali kuna investment kubwa mtu anaiweka kwa mume au mke wakikaa wote kwa muda mrefu. Mfano unakuwa umeishasoma tabia za mwezi wako, unaamini atakuzika au utamzika (social Security). Mmejenga pengine nyumba, biashara etc kwa pamoja. Kwa usawa wa Magu, huwezi kuijenga tena. Aidha mmezaa watoto ambao kwao wanapenda baba na mama wawe wote. Hayo ya nyapu ni madogo. Kwa kawaida hulka ya binadamu ni kuwa anayeikunja K ndiye anamwamini na kumuona yu karibu yake, vile vile anayempatia k akaifukunyua kiroho safi ndiye wa maana kwake. Hapo huoni kwa nini dume lilifanya hivyo. Kuna umri unaweza sepa ukaanza upya ila kuna umri kuchapiwa kunakuwa ni siri ya ndani ila mgoni lazima umtatue marinda maana anayekulia mkeo sawa na kukutatua marinda. Nayazungumzia haya kwani wengine yalitupata
Pole, vipi ilitatua rinda, ulijeruhi au uliua??
 
Utamu haujawahi kumwacha mtu salama jomoni!! ila ni upimbi kumjeruhi mtu kisa papuch ambayo hata buguruni unaipata kwa jero.Ni ujinga kiwango cha A wanaume fanyeni kazi mkiwa busy muda wa kufikiria papuchi haupo kamwe
 
Kuonja rinda sunna na ni mtu mkubwa hapa injini. Aliamua mwenyewe bila kushawishiwa kutoa rinda baadala ya kukata uume
Hehehehee rinda na nyapu IPI tamu?? Mkeo unae Bado?
 
Hehehehee rinda na nyapu IPI tamu?? Mkeo unae Bado?
Naomba nisiendelee maana mke wangu na mchepuko wake wapo JF ila nikiwafuma tena hapo nitatoa picha hapa JF muone mwanamke wa mtu alivyo mtamu au mchungu.
 
Naomba nisiendelee maana mke wangu na mchepuko wake wapo JF ila nikiwafuma tena hapo nitatoa picha hapa JF muone mwanamke wa mtu alivyo mtamu au mchungu.
Pole tena ila nakushauri tu tafuta ke ingine maana usikubali mtu Fulani akakufanya uishi kwa chuki na jazba
 
Hahahah! Eti ni mambo ya shetani!! Shetani kazi unayo!!! Utasingiziwa kila aina ya ujinga! Utajutia kilichokutuma uanzishe timbwili mbinguni...

Mwanamke yeye nadhani alianza kumhoji mume kwanini hajaenda msibani!
 
Inasikitisha sana...

Mume kutoka kidogo, mke ameshenda kufanya yake... bila aibu anasema hajui nani alliyemwambia mume wake...

cc: mahondaw
 
Mkazi wa kijiji cha Nyansurura wilayani Serengeti, Paul Chacha (24) amejeruhiwa koromeo kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu kwenye gesti bubu.

Katika tukio hilo mume wa mtu aliingia katika chumba cha gesti hiyo kininja akipitia darini.

Mwanamke anayedaiwa kufumaniwa akiwa na Chacha, Bhoke Simion (36) mkazi wa kijiji cha Tamukeri pia amekatwa kifundo cha mguu. Tukio hilo lilitokea Oktoba 3 na majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali Teule ya Nyerere wilayani hapa.

Katibu wa hospitali hiyo, Mbona Kazare alithibitisha kuwapokea majeruhi hao wakiwa katika hali mbaya. “Chacha alikuwa na hali mbaya, hakuwa na fahamu, damu nyingi zikivuja kwenye koromeo, kichwani, usoni, miguuni, mikono na mwanamke amekatwa kifundo cha mguu wa kushoto,” alisema.

Akisimulia mkasa huo Chacha alisema, “ni mambo ya shetani tu, tulikuwa tumelala gesti bubu ghafla mumewe aliingia ndani kupitia darini na kuanza kutushambulia, alianza na mke wake na mwisho akaja kwangu na kunikata kata ili aniue.”

Alisema kabla ya mwanamume huyo kuwashambulia alifunga milango ya kuingia na kutoka hivyo hawakupata msaada wowote kwa watu na alizinduka baada ya siku mbili akajikuta hospitalini.

Kwa upande wake Bhoke alisema, “sijui nani alimwambia mume wangu maana alikuwa ameenda msibani, tukiwa tumelala tulishangaa anaingia toka darini na panga, akanikata kifundo cha mguu, nilipiga kelele kuomba msaada lakini hakuna aliyetokea,” alisema.

Alisema mbali ya kuwashambulia alichukua Sh80,000 alizowakuta nazo na kisha kutokomea.

Ofisa mtendaji wa Kijiji cha Tamukeri, Mang’era Magesa alisema mtuhumiwa hajakamatwa ingawa anaonekana kijijini hapo. Kamanda wa Polisi Wilaya ya Serengeti, Mathew Mgema alisema hana taarifa hizo na kuwa atazifuatilia.

Chanzo: Mwananchi
Ni ujinga kumjeruhi mwingine kisa mwanamke nikikukuta na mke wangu kwa mfano hata Kofi sikupigi
Narudia hata kibao sikupigi
 
Ukitaka kufa siku kizembe na siku siyo zako tembea na mke wa mtu.
Unakuwa kilema kwa sbb ya mke wa mtu. Ni uzembe sana
 
ile story yako ya kuwagonga majini mbona haikuendelea?

Mwanangu kweli una hasira nayo umenifuata hadi huku? Poa ngoja niende nikaimalizie, nilitoa kwanza maana KAISHKA c mwema jombaa..nilikuwa naskilizia upepo kwanza...huyo kiumbe kishanitokea tokea sehemu tofauti kidogo ndio maana sijapenda kuendelea, from dar to zambia, Zambia to Congo na hata Burundi nilishakutana na Yule pumbavu mazingira ni Yale Yale ya Ajabu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom