Mume aingia chumba cha gesti bubu kininja, ajeruhi

Mume aingia chumba cha gesti bubu kininja, ajeruhi

Mwanamke Mpumbavu anasema said:
Kwa upande wake Bhoke alisema, “sijui nani alimwambia mume wangu maana alikuwa ameenda msibani, tukiwa tumelala tulishangaa anaingia toka darini na panga, akanikata kifundo cha mguu, nilipiga kelele kuomba msaada lakini hakuna aliyetokea,” alisema.
 
Kama ana mke subiri Aje agongewe ndo ajue uchungu wa kugongewa

Hakika kugongewa mke inauma sana, mke wako umemtolea mahali ya gharama ya juu, harafu kaenda kugawa uroda kwa mtu from no way, harafu uwafumanie, hakika kuua lazima, tena wote.
 
Yanii mume wakoo kaenda msibani wew unafanya umalayaa huku..!?? Kwa nini asingekataa kichwaa kabisaa...yanii nikuua wotee...mbwaa kabisaa
 
Hakika kugongewa mke inauma sana, mke wako umemtolea mahali ya gharama ya juu, harafu kaenda kugawa uroda kwa mtu from no way, harafu uwafumanie, hakika kuua lazima, tena wote.
Watu wanaongea tu lakini siku ukigongewa tena ukafumania,aiseeeee maamuzi utakayoyachukua nadhani ni hatari sana
 
Mjinga sana huyu kijana eti...........
Akisimulia mkasa huo Chacha alisema, “ni mambo ya shetani tu, tulikuwa tumelala gesti bubu ghafla mumewe aliingia ndani kupitia darini na kuanza kutushambulia, alianza na mke wake na mwisho akaja kwangu na kunikata kata ili aniue.”

Na hiki kidada eti..............

Kwa upande wake Bhoke alisema, “sijui nani alimwambia mume wangu maana alikuwa ameenda msibani, tukiwa tumelala tulishangaa anaingia toka darini na panga, akanikata kifundo cha mguu, nilipiga kelele kuomba msaada lakini hakuna aliyetokea,” alisema.

ILIFAA WAUAWE WAPUUZI HAWA.
 
Watu wanaongea tu lakini siku ukigongewa tena ukafumania,aiseeeee maamuzi utakayoyachukua nadhani ni hatari sana

Ni kweli mkuu, inauma sana tena katika maisha naomba isitokee, maaana ikitokea jera itanihusu, either kufa wote watatu.
 
Nilijua kukeketwa kwao wanawake wa huko inasaidia kutochepuka
 
Angeua wote kabsa, huu ushezi wa sisi wanaume na hawa wanawake tutaacha lini.[emoji27]
Yap! Kifo ni halali yao, Dar wangemfumua tu marinda huyo jamaa, na picha nyingi sana, upumbavu wa wanaume uchwara, unaanzaje kugegeda mke wa mtu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom