Mwanamutapa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 513
- 489
Enzi hzo division three unaenda kusomeshwa ulaya.
Si kweli hayo enzi hizo bila Division one au Division Two ya kwanza kwa mwanaume chuo kikuu ulikuwa huendi wenye Division two walienda vyuo vya Advanced Diploma kama Mzumbe, IFM na chuo cha ARDHI Division Three walienda DSA, CBE nk katika wanafunzi waliomaliza A-Level. Siku hizi vilaza wengi ndio wanaenda vyuo vikuu Division Three wamejaa vyuo vikuu ndio maana elimu imekuwa sio ya kiwango kama zamani wanafunzi wanamaliza vyuo kikuu hata kuandika kiswahili sanifu hawawezi ukiachilia mbali kiingereza. Kuhusu Mulugo na Kikwete sijui walifikaje hapo maana kwa wanafunzi wa zamani kusoma chuo kikuu miaka ya 1970 halafu unababaisha kiingereza kama Jk sijui alifanyafanya vipi akamaliza chuo, naye Mulugo kwa wanafunzi wa A-Level miaka ile kuongea kibabaishaji vile sijui alifikafikaje High School kwa kifupi Mulogo na JK wote walikuwa vilaza