Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

Alifaulu mwaka gani na wapi na alifaulu vipi huku akishindwa kujua Tanzania ni muungano wa nani na nani! Kama hajui hilo atajua kweli Falme za Osei Tutu, Utawala wa Timbuktu , Shaka Zulu, Tip Tip, Vasco da Gama na Biashara ya pembe tatu? Labda hakufanya mtihani wa Historia na Kiingereza!

Mkuu Kimbunga, upo?
 
Last edited by a moderator:
Mtamuonea bure Huyo Waziri, nipo hapa nasikiliza pumba za Zembwela kwenye kipindi chake na naambiwa amesoma chuo cha uandishi wa habari nimebaki mdomo wazi.

Sasa hukubaliani naye?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ndugu Naibu Waziri watz si mbumbumbu kama unavyodhania hivyo ni bora unyamazie hiyo issue!

Huu msemo wa wahenga usome kwa makini "It is better to keep your mouth shut and be thought a fool than opening it and clear all doubts"!
 
alutationHonourable
First Name: Philipo
Middle Name: Augustino
Last Name:Mulugo
Constituent: Songwe
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 9121, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 754 315 922/+255 784 315 922
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: pmulugo@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 January 1972

[TD="width: 42%, align: center"] Member picture
1645.jpg
[/TD]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Rukwa Primary School, Chunga
Mbeya Secondary School
Songea Boys' High School
Open University of Tanzania

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]

[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]

[TD="align: center"]BA (Economics Education )[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Songwe Constituency
Southern Highland Secondary SchoolSchool Managing Director
Southern Highland Secondary SchoolAdministrative & Personnel Officer
Southern Highland Secondary SchoolTeacher

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary General - Mbeya Region (Parents)
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Chunya District Political Committee

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2007[/TD]

Honestly he does not qualify for that position!!! Lol
 
Pure lies if this guy is the smartest of his batch it means his was a bunch of tabularasa so to speak. By then chuo ilikuwa ni free sasa anaposema alichelewa kujiunga na chuo ili kutafuta pesa anamdanganya nani? Wakati kwenda chuo ilikuwa ni fursa ya kunenepa kwa kula bure.

Aondoe uongo wake hapa mimi nimeingia chuo kikuu mwaka 2004, nakumbuka nimechaguliwa kwa kulipiwa kila kitu Tuition Fees,accomodation, na pesa kidogo ya kula enzi hizo ilikuwa 2500 kwa siku na ilikuwa inanitosha, na wakati mwingine nilikuwa napiga na bia siku mojamoja. Sasa yeye alikuwa anatafuta pesa ya kujisomeshea wapi? inamaana alipochaguliwa aliomba asiripoti chuo mpaka akipata pesa?, Mulugo asiwe Muongo enzi anaanza kazi ya Ualimu pale Southrn Highland Sec School mshahara aliokuwa anapata kwa mwaka ulikuwa ni mdogo kuliko Tuition Fees,accomodation, na meal allowance iliyokuwa ikitolewa na serikali kwa mwaka, akiri tu kwamba alikuwa hana sifa na ashukuru pia Open University kwa kuwa na nafasi za watu wa Level yake vinginevyo mpaka leo angekuwa anachezea from six yake failure mpaka kufa
 
swali langu ni kwamba hivi serikali ilikuwa haitoi mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu enzi za akina mulugo?[/QUOTE]


Jamani, Mulugo wa ONE NINETEEN SEVENTY TWO "1 1972" naye ana enzi? Huyo kamaliza six juzi kati. Mimi nimentangulia darasani lakini nilipata mkopo. Anafanya maigizo ili tumuonee huruma.
 
Chuo kasoma Open na Adv 2006 ndo kamaliza sasa hiyo longolongo yake akadanganya wananchi wa jimbo lake
 
Mbona wanasema vyeti vya kununua yeye anaitwa AMIM?
Nasikia Hamim ndiyo jina lake harisi, ila kuna mtu alichaguliwa kwenda form one alishindwa kwenda baada ya kuchaguliwa ikabidi aende yeye kwa njia za magumashi na atumie ile nafasi yake, huyu jamaa siku wakiingia madarakani watu makini na akafanyiwa kazi ataaibika sana maana kwasasa wanaogopa kumuweka wazi maana itakuwa aibu kwa Rais aliyemteua.
 
Mh. N/ Waziri wa elimu, mulugo amesema ktk kipindi cha medani za siasa na uchumi kinachorushwa na star Tv kuwa yeye alisomeshwa na padri na akafaulu pekee yake kwenda secondary.Pia amesema kuwa alichelewa kwenda chuo kikuu kwani alikuwa anatafta fedha kwa ajili ya kujisomesha. swali langu ni kwamba hivi serikali ilikuwa haitoi mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu enzi za akina mulugo?




NDIO SHIDA YA ELIMU YA MADRASA
:smile: :smile:
 
Aondoe uongo wake hapa mimi nimeingia chuo kikuu mwaka 2004, nakumbuka nimechaguliwa kwa kulipiwa kila kitu Tuition Fees,accomodation, na pesa kidogo ya kula enzi hizo ilikuwa 2500 kwa siku na ilikuwa inanitosha, na wakati mwingine nilikuwa napiga na bia siku mojamoja. Sasa yeye alikuwa anatafuta pesa ya kujisomeshea wapi? inamaana alipochaguliwa aliomba asiripoti chuo mpaka akipata pesa?, Mulugo asiwe Muongo enzi anaanza kazi ya Ualimu pale Southrn Highland Sec School mshahara aliokuwa anapata kwa mwaka ulikuwa ni mdogo kuliko Tuition Fees,accomodation, na meal allowance iliyokuwa ikitolewa na serikali kwa mwaka, akiri tu kwamba alikuwa hana sifa na ashukuru pia Open University kwa kuwa na nafasi za watu wa Level yake vinginevyo mpaka leo angekuwa anachezea from six yake failure mpaka kufa
Mimi nimemkubali sana Mulugo baada ya kugunduwa alijiendeleza Open University, huyu ni mfano bora kwa jamii yetu, matatizo yake mengine na wewe angalia hapo kwenye RED.
 
Kuna watu wanasema eti kupata uwaziri mpaka uchung:bowl:uzwe je huyu HAMIM a k a MULUGU mbona anapeta
 
Mimi nimemkubali sana Mulugo baada ya kugunduwa alijiendeleza Open University, huyu ni mfano bora kwa jamii yetu, matatizo yake mengine na wewe angalia hapo kwenye RED.

Mimi kwani waziri? hapo nimeteleza vidole na haina impact kwa Taifa
 
Alifaulu peke yake, na ni peke yake duniani anayetambua muungano wa pemaba na zimbabwe mwaka 11964
 
kufaulu kwake peke yake kunaisaidiaje Tz leo,anachoongea ni tofauti kbs na utendaji wake!
 
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa Primary School, Chunga[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Mie ni miongoni mwa wanafunzi tulioanza darasa la kwanza mwaka 1982, na kuhitimu elimu ya msingi mwaka 1988....vipi huyu mkubwa ahitimu mwaka 1989........Forn 1 ---mwaka 1989 hadi 1992 tukahitimu form IV ... form V 1993 hadi 1995 inaonesha wazi huyu jamaa alilidanganya bunge CV yake...Hivi sasa anawabania sana wanaorudia shule....ina maana na yeye alirudia darasa?
Naombeni wataalamu wa elimu mfuatilie mtililiko mzima wa waziri mdogo huyo?
 
Mikopo ya Masomo ya Elimu ya juu imeanza kutolewa mwaka 1994...! Mulugo amemaliza High School mwaka 1996 (Kama alimaliza kweli?) Kwahiyo kama alifaulu (?) alikuwa anastahili kupewa mkopo wa kuedelea na masomo ya Elimu ya juu...! Jambo lingine linalonitia shaka inakuwaje Mulugo alianza Da rasa la Kwanza akiwa na miaka kumi (10)?
 
CCM mnasubiri nini kwa huyu?, au mnausubiri mambo yazidi kuwa mabaya?, Hamsomi NYAKATI?, Nawaonea huruma Mtaumbuka zaidi....
 
Mkuu Kobello,

Hao wenye division 3 walionekana ni vipanga wa kutisha....

Mwaka 1993, Wizara ya Sayansi, Tech na Elimu ya juu ilipeleka timu ya vijana karibia 100 Urusi, na wengi wao walikuwa na division 4. Jamaa mmoja anaitwa Rajabu aliyekuwa anashughulikia hizo nafasi alikuwa anawafukuza watu wenye matokeo mazuri eti kwa sababu hao wana nafasi katika vyuo vya hapa nchini...Aliwafukuza eti waache kuwazibia nafasi wenzao ambao hasingeweza kupewa nafasi hapa Tz. Hata hivyo, nafasi walipewa watoto au ndugu wa wakubwa!

Ila nasikia hata Std 7 nao walikuwa wanapewa scholarship na wengine ni watu wakubwa sana hapa nchini....

Hii bongo yetu iache iitwe Bongo aisee!!

DC umenikumbusha mbali sana, huyo jamaa alikuwa mla rushwa mkubwa...mimi ni mmoja ya walitoswa na mikakati yake hiyo, na ninawajua mademu kama watano ambao aliwapa baada ya kukubaliana nae mambo fulani....acha tu...leo ni makatibu na manaibu wa wizara...
 
Back
Top Bottom