Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

watu wa enzi hizo wote huwa wanapenda piga sana fiksi kuwa walikuwa wa kwanza tuu, na wlaifaulu pekee yao.Ila some where unakuta school mate wake amabaye mwenyewe anamkubalia kuwa alikuwa fit zaiid yake.
 
issue sio magumashi nadhani unashindwa kuelewa ni kurudia darasa ili ufaulu

The fact kuwa anatoka katika familia mbovu haimpi justification ya kutumia jina ambalo siyo lake kwenye masomo.

Ingekuwaje basi kama wale wote ambao wametoka kwenye familia mbovu wangekuwa wanafannya magumbashi kama hayo?
 
Mh. N/ Waziri wa elimu, mulugo amesema ktk kipindi cha medani za siasa na uchumi kinachorushwa na star Tv kuwa yeye alisomeshwa na padri na akafaulu pekee yake kwenda secondary.Pia amesema kuwa alichelewa kwenda chuo kikuu kwani alikuwa anatafta fedha kwa ajili ya kujisomesha. swali langu ni kwamba hivi serikali ilikuwa haitoi mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu enzi za akina mulugo?
bwana mulugo. tatizo lako ulikurupuka you did not read between the lines. infact it might have been a surprise to your own psyche from the sound of your mouth. i dont think you approve your presentation was a slip of mouth. go back to you tube you shall learn the blunder you made. hwo did Zimbabwe or south rhodesia by the time unite with Zanzibar and Pemba to form the United Republica of Tanzania? ulichomekewa ukawaamini. President Obama did a weeklong rehearsal for an inaugural speech notwitstanding his prowess in speech presentation. was it not importatnt for you to work even a little bit more to improvise your familiarity with the speech you were going to present to the international conference. infact you failed us a great deal. the cut and paste is a very ridiculous approach to time matching. it doesnt matter you were a lone pupil selected for secondary education. mimi nilifaulu pekee yangu kwenda sekondari kata nzima by then miaka mingi sana. sasa nimehitimu MSc. in One of the universities in tanzania
 
Mikopo ya Masomo ya Elimu ya juu imeanza kutolewa mwaka 1994...! Mulugo amemaliza High School mwaka 1996 (Kama alimaliza kweli?) Kwahiyo kama alifaulu (?) alikuwa anastahili kupewa mkopo wa kuedelea na masomo ya Elimu ya juu...! Jambo lingine linalonitia shaka inakuwaje Mulugo alianza Da rasa la Kwanza akiwa na miaka kumi (10)?
kushangaa mtu alieanza darasa la I nao ni ukilaza kwasababu sio wote walivikwa nepi za taulo na baby show. hii nchi ni kubwa na kuna a lot of diversity in a number of things thta surrounds. mimi nafikiri wangejikita kuhoji mlolongo wake wa kusoma na uhalali wa jina lake otherwise sio watz wote walioanza shule na miaka. it doesnt matter when you began but rather when and how you acquired the achievement you claim to be genuine unto yourself
 
Mmmmmmh...!!! 2002 to 20008 Graduate: Six years 6 kupata degree ya miaka 3.. Duh, kweli alikuwa busy sana waziri wetu!!!
 
Mh. N/ Waziri wa elimu, mulugo amesema ktk kipindi cha medani za siasa na uchumi kinachorushwa na star Tv kuwa yeye alisomeshwa na padri na akafaulu pekee yake kwenda secondary.Pia amesema kuwa alichelewa kwenda chuo kikuu kwani alikuwa anatafta fedha kwa ajili ya kujisomesha. swali langu ni kwamba hivi serikali ilikuwa haitoi mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu enzi za akina mulugo?

hilo swali ni pumba tupu
 
Kipindi anamaliza form 6 (kama kweli alimaliza), serikali ilikuwa inatoa mikopo katika awamu ya kwanza ya kuchangia gharam za elimu ya juu...

Kwa hiyo hawezi kutushawishi kwamba alikosa pesa za elimu ya juu ingawa elimu ilikuwa siyo bure 100% kama miaka ya nyuma hadi mwanzoni mwa 1990s ambapo hata kusafiri ilikuwa ni kwa travel warrant.

MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1645.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Philipo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Augustino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mulugo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Songwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9121, Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 315 922/+255 784 315 922[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]pmulugo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]27 January 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa Primary School, Chunga[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Songea Boys' High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics Education )[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hivi huyu Naibu waziri amezaliwa/ni mtu wa wapi?
 
Kipindi anamaliza form 6 (kama kweli alimaliza), serikali ilikuwa inatoa mikopo katika awamu ya kwanza ya kuchangia gharam za elimu ya juu...

Kwa hiyo hawezi kutushawishi kwamba alikosa pesa za elimu ya juu ingawa elimu ilikuwa siyo bure 100% kama miaka ya nyuma hadi mwanzoni mwa 1990s ambapo hata kusafiri ilikuwa ni kwa travel warrant.

MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1645.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Philipo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Augustino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mulugo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Songwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9121, Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 315 922/+255 784 315 922[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]pmulugo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]27 January 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]




[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa Primary School, Chunga[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Songea Boys' High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics Education )[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mh N/Waziri Mulugo alisoma shule ya msingi kwa miaka minane (8)?
 
Huyu ndugu wana Jf mnamwandama sana. Acheni ale kwa mdomo wake. Kuna matapeli wangapi wanaishi kwa midomo yao. 2015 sio mbali. Tumpe usingizi sasa
 
Mh. N/ Waziri wa
elimu, mulugo amesema ktk kipindi cha medani za siasa na uchumi
kinachorushwa na star Tv kuwa yeye alisomeshwa na padri na akafaulu
pekee yake kwenda secondary.Pia amesema kuwa alichelewa kwenda chuo
kikuu kwani alikuwa anatafta fedha kwa ajili ya kujisomesha. swali langu
ni kwamba hivi serikali ilikuwa haitoi mikopo kwa wanafunzi wa elimu
ya juu enzi za akina mulugo?

Ndo maana ana majibu ya ajabuu,kumbe katika wehuu wote wa shule yake yeye ndo alionekana ndio mwehu mwenye afwadhwali
 
Dah..! This too much. Mwacheni walau alale usingizi jamani. Enough is enough, cha!!!!
 
Huyu nw acha ya mfike tu amezidi kuwaandama walimu kila siku anawakatisha tamaa kwa kauli zake ni mtu mbaya sana lakini malipo hapahapa na huu mwaka keshaanza na zengwe na bado ahadi zake za magumashi tu hana msaada kwa walimu ambao kimsingi ndio wanamfanya awepo pale, nimuulize swali haoni wenzie akna mwa k' na maguf' wanavyocheza kama messi ma ronaldo yeye amekalia marumbano tu mara znz ndiyo zimbabwe mara jina siyo lake yani mradi fujo tu agrrrrrrrrr!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sa na Rais alitumia kigezo gani kumpa unaibu waziri huyu mtu tena wizara nyeti kama ya Elimu? hivi huyu Rais anawashauri
 
Back
Top Bottom