Mulugo Karudia Tena Madudu yake!

Mulugo Karudia Tena Madudu yake!

mheshimuni mh!!! watu wengi wamempa kura jimboni kwake!! koo nao ni mazombi!!
 
mulugo alikua na kashfa ya kufoji vyeti, kwa hili sio ajabu kulisikia kwake
 
Sekondari alisoma spesho skulz za wenye vipaji maalum?

Halafu sielewi kabisa mtu kama huyu ilikuwa kuwaje hadi akapewa unaibu waziri?

Hivi hata huwa wanafanyiwa usaili hao wateule za hizo nafasi?

I mean, hata mimi mbeba maboksi niliyeishia form four tena kwenye shule ya binafsi (kwa tuliofeli darasa la saba) ni kichwa kuliko huyo jamaa:becky:.

Sio usaili per se. Zamani au tuseme awamu zilizo tangulia, TISS walihusika kutoa dossier ya mtu. Sasa sina uhakika kama hawafanyi tena au zinapuuzwa.
 
Mtu akikutukana kwa kukufananisha na Mulugo, pigana kwa kuwa hakuna tusi baya kuzidi hilo katika Tanzania
 
Nilikuwa sijafahamu kumbe kwenye hiyo report yake aliandikiwa 1964 yeye akasoma wani naintini sikste foo, akaandikiwa Pemba and Zanzibar yeye akasoma Zimbabwe and Pemba...ha ha haaa, halafu ndo waziri wa elimu..eti the VETA..ha ha haa
 
Huyu Mulugo na wengine kama hawa ndiyo sample za viongozi wanaoturudishia nyuma taifa letu.
 
Back
Top Bottom