pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,486
- 6,172
Mkuu huyu jamaa anchekesha kuliko hata Joti na Majuto. Huo mwaka wa uhuru alisema 1,1961 na sio 1961.
Akiwa anachangia katka Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bungeni, amekurupuka tena Eti" CHUNYA INA UKUBWA WA KILOMITA 29".
Sasa swali ni je, hizo ni Kilomita za Mraba au kitu gani? Hajui hata Vipimo vya Matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema Tanzania ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika,
Pia alisema Tanganyika got independent 1961(Nineteen nineteen sixty one).
Napo kule Tukuyu Teachers Collage alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "A".
Mwisho, aliwahi sema Supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni Kilaza ama anakurupuka tu.