Na wewe umekosea, Mulugo alikosea kweli kuhusu hiyo miaka na alichosema ni Tanzania was found in 11964(one nineteen sixty four) badala ya 1964(nineteen sixty four) na siyo kama ulivyoandika. Audio ipo ukitaka weka hapa namba yako ya whatsapp nikutumie.

Sekondari alisoma spesho skulz za wenye vipaji maalum?
Halafu sielewi kabisa mtu kama huyu ilikuwa kuwaje hadi akapewa unaibu waziri?
Hivi hata huwa wanafanyiwa usaili hao wateule za hizo nafasi?
I mean, hata mimi mbeba maboksi niliyeishia form four tena kwenye shule ya binafsi (kwa tuliofeli darasa la saba) ni kichwa kuliko huyo jamaa:becky:.

nadhani hukusikia vizuri,mimi sikusikia kabisa!! Hebu rudia kuandika upya!Mulugo kama Mbowe tu,wote walifoji vyeti,wote walipata div 0,wote wanatema pumba,mfano Mbowe badala ya kusema Zito is war yeye akaropoka Zito is who
Hiyo ndio Tanzania nchi ya miujiza na maajabu. Watalii wanakuja Tanzania kwa mengi ikiwemo kutushangaa sisi Watanzania. Rejerea hutuba ya MKOSAMALI bungeni.Akiwa anachangia katka Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bungeni, amekurupuka tena Eti" CHUNYA INA UKUBWA WA KILOMITA 29".
Sasa swali ni je, hizo ni Kilomita za Mraba au kitu gani? Hajui hata Vipimo vya Matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema Tanzania ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika,
Pia alisema Tanganyika got independent 11961(One Nineteen sixty one).
Napo kule Tukuyu Teachers College alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "A".
Mwisho, aliwahi sema Supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni Kilaza ama anakurupuka tu.
haa haa naye huyu atapata kiinua mgongo? duh maskini nchi yangu.[/QUOT
ni haki yake apewe tu
Ni makosa ya Kimatamshi tu...
huyu bwana mulugo ni kilaza wa ukweli wala haigizi. huyu mtu nashindwa kuelewa aliteuliwaje kuwa naibu waziri wa elimu...anatia huruma mno.
Hiyo ya suplementary ni masomo kama mengine nimeipenda zaidiAkiwa anachangia katka Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bungeni, amekurupuka tena Eti" CHUNYA INA UKUBWA WA KILOMITA 29".
Sasa swali ni je, hizo ni Kilomita za Mraba au kitu gani? Hajui hata Vipimo vya Matriki!
Ikumbukwe aliwahi sema Tanzania ni Muungano wa Visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika,
Pia alisema Tanganyika got independent 11961(One Nineteen sixty one).
Napo kule Tukuyu Teachers College alidai atapandisha mishahara ya watumishi mpaka wapande kufikia "A".
Mwisho, aliwahi sema Supplementary ni somo kama masomo mengine hivyo lazima ufaulu tu, hakuna namna.
Huyu jamaa anafanya kusudi, ni Kilaza ama anakurupuka tu.
Sekondari alisoma spesho skulz za wenye vipaji maalum?
Halafu sielewi kabisa mtu kama huyu ilikuwa kuwaje hadi akapewa unaibu waziri?
Hivi hata huwa wanafanyiwa usaili hao wateule za hizo nafasi?
I mean, hata mimi mbeba maboksi niliyeishia form four tena kwenye shule ya binafsi (kwa tuliofeli darasa la saba) ni kichwa kuliko huyo jamaa:becky:.
Mkuu, UKAWA wapo macho wewe subiri muda ufike. Hakuna Jimbo la kuachwa safari hii.Huyu.nimbunge wangu najuta kumfaham huyu bwana lakin ukawa bunge.la.songwe wa wamelisusa thats why jamaa ataludi kwa kishindo my be.ccm wajichakachue wenyewe ila huyu bwana ndozii.kweli
Ahsante! Ila STD VII hawafaulu bali wanachaguliwa! Ndiyo maana kuna 2nd selection