Mulugo Karudia Tena Madudu yake!

Mulugo Karudia Tena Madudu yake!

huyu bwana mulugo ni kilaza wa ukweli wala haigizi. huyu mtu nashindwa kuelewa aliteuliwaje kuwa naibu waziri wa elimu...anatia huruma mno.

Na ndiyo maana nchi yetu hii hakuna tulichoazimia kukifanya tukafanikisha hata japo kwa 50%.
 
... usisahau na hii, Tanzania was FOUND????. Naibu Waziri, tena Wizara ya ELIMU. halafu mnamwonea sana huyu. Imagine bi Ghasiye anazungumza hii lugha ya watu kjujibu swali kiingereza, na hapo pembeni yupo Bi. Sembe akimsahihisha. Very original comedy! I love is my country.
Na hapo muulizaji maswali kiingereza ni Mulugu. Teh teh teh

Ebhaneeeee...teh teh teh

BACK TANGANYIKA
 
[video=youtube_share;e3BNegmIUKM]http://youtu.be/e3BNegmIUKM[/video]

Asante BAK nilikua sijawahi kusikia aisee huyu jamaa Ni hewa kabisa,kiingereza chenyewe anaongea cha darasa la pili.aiseee
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimemsikiliza ni pumba tupu aisee... ameongea utumbo mwanzo mwisho anasema ziwa Rukwa hakuna samaki hapo hapo anaomba wavuvi wapewe boats... sasa watavua nn?

Anasema hakuna kiongozi yeyote aliyetembelea huko wala kuliongelea hapo hapo anasema viongozi wanaendaga kuvua mamba 60 kila mwaka anataka waongeze idadi!!!

Huyu MTU ni mjinga na duni kupindukia!!!
 
du,teh teh teh,viongoz uchwara hao wa serikali yetu Maskio
 
Fikiria unakwenda Hospitali unakutana na Daktari aina ya Mulugo ..., una jipu sehemu za siri...
Hebu fikiria kitakachotokea...?!

Ni afadhali alienda ktk siasa..., wamepona watu wengi..., na tumefahamu madhara ya CCM.....
 
Ha ha ha hapana braza!

ni product ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA.

Sekondari alisoma spesho skulz za wenye vipaji maalum?

Halafu sielewi kabisa mtu kama huyu ilikuwa kuwaje hadi akapewa unaibu waziri?

Hivi hata huwa wanafanyiwa usaili hao wateule za hizo nafasi?

I mean, hata mimi mbeba maboksi niliyeishia form four tena kwenye shule ya binafsi (kwa tuliofeli darasa la saba) ni kichwa kuliko huyo jamaa:becky:.
 
..nimelisikia jamaa mulugo kwenye hiyo ppt ya south......duh....hakika jamaa lilichemka kupita maelezo...yaani kusoma tu kile lilichoandikiwa kwenye ppt ilikua shida likaongea upuuzi usio kifani....yaani haya majanga ya utawala huu hakika hayazungumziki....
....Waziri unashindwaje kusoma hata kile ulichoandikiwa???..maana nimelifuatilia liliposoma eti TZ ni muungano wa visiwa vya zanzibar na zimbabwe (vilivyofanya zanzibar)....kwenye ppt yake palikua pameandikwa sahihi(muungano zanzibar na Tanganyika)..na hata ile 1964 iikua hivyo kwenye ppt lenyewe likachomekea eti 11964....hili janga nitashangaa kuliona bungeni kwakani....Ifike sasa TZ tuyakatae haya majanga watu........
 
Back
Top Bottom