Muite girlfriend wako majina romantic

Nimewatolea mfano huu hapa wa romance kwenye majina ya kuwaita wapenzi[emoji4]
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kuna wengine hawataki... Nilimuitaga daddy akasema subiri mpaka nikikuzalisha mtoto [emoji3]

Mostly anapendelea sweetheart, mpenzi wangu, depal wangu. [emoji6]

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe, sema wewe na madeko naelewa hizo swaga
 
I calls her Babe or Babymama and she calls me Babe or Babydady,

Siku akiniita jina langu najua kimenuka fasta naanza kuwaza kama zile sms nilifuta, calls history niliclear kila kitu kikiwa sawa naitikia kwa bashasha zote.
Aaaah dea unakuwa una relax tyuuuh, hujui kuna kujisahau kwani?
 
Na sisi tunadandiamo humohumo tunajifanya tunaelea kwenye dimbwi la mahaba
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee nimecheka had baas, ile kujipa moyo na vyenye hakuna. Ila tucheze humohumo.
 
Chugga all the way!![emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeah, ila hilo neno lina maan nyingne kabisaaah na tulivyozoea kutafsiri. Uko sahihi dea.
 
Nilikuwa na BF huyo mkiongea kwa simu ni lazima aanze na "wife" kila simu ni "hello wife" bla bla hapo kati then ok wife take care "... Nilikuwa nachukia mwanzo mwanzo hizo wife zake mpaka nikaja kuzoea baadaye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu relaaaax na wee, sasa si ali imagine kakuoa tayar. Uwiiiiiih
 
Sisi Tunaitanaa Nyumbuu na penzii linasongaaa zaidiii ya ISIDINGO Mara ya kwanza namtongozaaa alinijibu vibayaa kwa kuniita Nyumbu alipokubaliii nikaliendelezaaa Hilo jinaaa ameshazoeaa dah ngojaa nimpigieee Nyumbu wanguu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi Tunaitanaa Nyumbuu na penzii linasongaaa zaidiii ya ISIDINGO Mara ya kwanza namtongozaaa alinijibu vibayaa kwa kuniita Nyumbu alipokubaliii nikaliendelezaaa Hilo jinaaa ameshazoeaa dah ngojaa nimpigieee Nyumbu wanguu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..
 
Dem kama hayupo moyon hata aniiteje wala sishtuk...kwanza naona ananikera...

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila wewe kaka inaonekana mgumu saana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…