Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

mimi kuna kitu uwa sielewi kuhusu waislamu huwa najiuliza kipindi muhamed (SAW) alipokua duniani je alikua anaua watu waliokuwawanampinga au kumuongelea vibaya na je ndio maelekezo yake kuuua wote wanaomsema yeye vibaya ?

Mohammad kasababisha mauaji ya kimbari kwa Wayahudi na kuuza watoto wao utumwani, kafanya ugaidi sana huyo, ikiwemo kudinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa.
 
Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema:
“Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169)
Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua waislam ktk Jihad kama wanawakomoa, kumbe ni kuwarahishia njia ya peponi. Wasiokuwa waislam wao wakifa au wakiua kwao ni hasara
Mabikra 72
 
Muislam Akiongea jambo usimuamini.
1773864951133.png
1773865043214.png
 
Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake

Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema:
“Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169)
Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua waislam ktk Jihad kama wanawakomoa, kumbe ni kuwarahishia njia ya peponi. Wasiokuwa waislam wao wakifa au wakiua kwao ni hasara
Hii Mohammad alikuwa akiwahadaa waarabu wakiwa vitani same mbinu aliyotumia Kinje kitile Gwale akwahadaa Waafrica eti risasi zitageuka maji maji hawato kufa.. sasa uliza mwisho wake ulikuwaje hahaha.
 
Jihad iko wapi kwa sasa? Sudan?
 
Hii Mohammad alikuwa akiwahadaa waarabu wakiwa vitani same mbinu aliyotumia Kinje kitile Gwale akwahadaa Waafrica eti risasi zitageuka maji maji hawato kufa.. sasa uliza mwisho wake ulikuwaje hahaha.
Halafu ukute fisi kama wewe unaenda kuuliwa kizembe na mackienzie na kibwetere
 
Huo ujinga wakufa kijinga hata Palestinians, Iraqis na Lebanon's wameushtukia na kuukataa siku hizi. Husikii tena wakijitoa muhanga.
 
Halafu ukute fisi kama wewe unaenda kuuliwa kizembe na mackienzie na kibwetere
Mwenzio Mudy alishawishi waarabu wawavamie warumi kijeshi ili wawateke wanawake zao wenye nywele za dhahabu huku akijua Roman haishindwi kivita
 
Wewe ni kilaza elimu ilikupita kushoto unababiabaia na ulokole mavi unakufanya ujione una kaelimu fulani ka upupu wa bibilia, ndezi kabisa acha kulopolopo vitu hauna elimu navyo wala ufahamu
Soma hii lugha kama unataka mkalimani nenda google sio unatumia kutafuta upupu wa kilokole

siku hizi mmeacha kuleta vimada vyako vya kipuuzi ukija na ID yako hamis77 , mnajua mtanikuta humu

1773873596051.png
 
Back
Top Bottom