Muhudumu wa bar ananivuruga sana

Muhudumu wa bar ananivuruga sana

E3472411-2FFB-4519-8381-6CCD3BE3C696.jpeg
 
Daktari ni wewe kweli unaandika haya au simu anayo shemeji leo ?
Kaka Kuna rafiki yangu EDO huyu jamaa yangu Jana vipimo vimeonyesha INI LIME ANZA KUARIBIKA.

Macho ya NJANO, MWILI una ganzii, mwili una vimba miguu, tumbo, alafu kakonda gafla kawa kama katoto

SISI SIO WALEVI KAKA SISI NI WANYWAJI HATUNA BAYA 😊😊
 
Kaka tutapewa miili mipya 😊 mbinguni.

Bila shaka kaka muda huu utakua kwenye KITI KIREFUU KAKA..
Hapana kaka nipo navuja jasho hapa eti wanasema najenga nchi ,nitakuwa huko jioni ya Leo baada ya saa kumi na mbili kaka .
Ila kama kunywa tunywe tu kaka maana najiuliza ikitokea pombe ikasitishwa hapa nchini nitaishije hakika sitaweza kuishi
 
Kweli sisi wengine HATUWEZI kupitisha siku bila kunywa..
 
Back
Top Bottom