Muhudumu wa bar ananivuruga sana

Muhudumu wa bar ananivuruga sana

Ngoja waje wale jamaa watasema huyo ni MSHANGAZI PROMAX. 😊😊😆

NB. Kuna mwanangu wale wanakata pombe Kali gudugudu aisee now ini limevimba , macho ya NJANO SANAAAAAA, MWILI una ganzi hapati usingizi uchovuu, MWILI kukosa nguvu.. Bora kunywa kistaarabu

Oya min -me , wife kasema niache pombeee 😊 😁
Punguza pombe Kali
Ila usiache kabisa
Tutakupoteza
 
Napiga sana konyagi ila na mix na tonic water.

Atleast konyagiiii ndogo mbili Kila jioni baada ya kazi..

Nina weight ya 85kg nakula vizuri na Huwa nikinywaga silewi ndio kisa cha Mimi kunywa konyagiiii ndogo mbili Kila jioni nikimalizaga KAZI.
Kunywa pombe Kali kila jioni ni hatari sana mkuu
Aaah ni hatari aisee
Punguza piga safari lager au bia nzito kama castle milk ambazo zitakupa mzuka lakini kukiacha na afya yako
 
Wakuu poleni san na vita vya Iran na Israel via marekani
Siyo. Pouwa wakuu wangu hii vita imeniadhiri sana pakubwa ukizingatia mm ni middle business man ambae kwa kias kikubwa nategemea mizigo kutoka china kisha na mm niuze kwa mlaji wa mwisho so hali siyo nzuri sna. Ila hvyo hvyo tunapmbna
Vita hivi siyo pouwa kbsa and these time marekani wameingia Cha kike mzozo ikiendelee hv uchumi WA taifa na wangu kwa ujumla utayumba sna

Pamoja na kwamba vita vinaendelea ila bado haijanizui mm kulamba bia mbili tatu ila sas hv nimepumguza bia kwamba nafanya mix ya bia na nyagi ili nifikie level mapema kbsa .castle lite za cane mbili au tatu na nyagi kisichana pembeni yake ....utaona picha chini hapo ingawa pia nyagi zimekuwa fake mno ila hvyo hvyo ntapambana nayo tu inanipaga mzuka sna

Bas bhna kuna bar yangu Huwa napenda tu kwenda kwa vyovyote vile kwani Ina watu wastarabu alfu mmeliki wake ni kigogo wa serekali katka idara fln hv

Hapa majuz boss ameleta vyombo vipya kbsa wahudumu wapya vyuma kweli kweli .mara nyingi mm sishobokei wahudumu ila these time huyu hapana ni mzuri kwa kias chake kias kwamba watu wanajazana kuja kuwa piga sound .nimefanikiwa kupewa namba demu hashobokei bia wala misozi sana akitumia ni bia 2 flying fish basi ankushukushukuru anatumia iphone macho mawili 😆kiashirio kwamba kuna muwekezaji mkubwa lzm na mm videmu vinao tumia iphone nawaguza tu kisha nasepa zangu
Naachi vumbi la hatari

Naomba kiwasilisha
Wewe ni dr wa nini mkuu?
 
Back
Top Bottom