min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,606
Ukitaka kunywa og usinywee bar za uchochoroni, unaijua Cape Verde dodoma kabla hawajaivunja?Ni feki lkn vina msuka sna hakn pombe og Tanzania hata bia hazina viwango
Picha ya PC yangu wamefuta ila ile PC mashine bana