Muhongo: Ni upumbavu kusema Mnada Wa Vitalu Usitishwe

Muhongo: Ni upumbavu kusema Mnada Wa Vitalu Usitishwe

Hata hao wazungu wanapata mikopo kutoka taasisi za fedha kama WB,IFC N.K.Sio kwamba wote wana hela cash bali ni hizo haki za umiliki wa ardhi au vitalu n.k.
Labda kwenye gas ni tofauti lakini kwenye kilimo au madini linafanyika sana
 
Hivi serikali si iliwahio kusitisha ugawaji wa vitalu? Kama nikikumbuka vizuri ni Waziri huyu huyu aliyesimamisha zoezi hilo na alitoa ufafanuzi. Nadhani humu JF kunawezekena kuna mstari uliokuwa unazungumzia issue hii kipindi kifupi baada ya yeye kupewa wizara ya Nishati na Madini. Mwenye kumbukumbu sahihi atujuze tafadhali.
 
NILIsema nasema na nitasema, sijawahi kumkubali huyu Profesa wenu, tokea afungue kopo lake jkwa mara ya kwanza na kuanza kuongea nilisema huyu jamaa tumjuta, kusema kweli anachoongea ni utumbo na namna nyingi tu ya kuopinga hoja zake kimantiki...hiki ni kituko ma mtakuja kunimbia,. kuwa profesa siyo kuwa na akili ya kuchanganua mambo, alafu jamaa anajifanya mjuaji kumbe ni ----- tu. sijwahi, siwahi wala sitawahi kumkubali huyu jamaa ni kituko. mimi si profesa lakini tukiwekwa mezani kutoa hoja anachokiongea... anaongea utmo siku zote tokea enzi za swala la mtwara, kujikomba kwa mabwana zake mpaka anakuwa kama mjinga, shule haikumsaidia
 
Hawa watu ambao hawajawahi kupata madaraka ni taabu sana.
Kutolewa huko alikokuwa an review research papers na kuwa waziri imekuwa nongwaa!
Hivi inakuwaje waziri unashindwa kutoa majibu, badala yake unaanza mipasho na matusi ya rejareja? Halafu anasema nae msomi! Basi mbona hana tofauti na sofia simba bibi wa mipasho! Kwa calibre ya elimu yake na nafasi yake alitakiwa aonyeshe kuwa he is making and showing a difference!
Hapana huyu mtu kuna kitu anajiamini nacho, hawezi kuwa anaropoka hivi, nionavyo mimi yuko na mshikaji fastjet na wana siri nzito sana beleave or not.
 
Muhongo tatizo lake ni mkweli sana
alichosema ni kweli kwa lugha ya wazi kabisa
labda katumia maneno makali lakini ukweli hakuna mtanzania anaeweza kuwekeza kwenye gas
Ni mtanzania gani na yupi mwenye utajiri wa kufikia USD Billion 540??
hata makampuni ya nje yanasaidiwa na serikali zao kupata hiyo mitaji.
mengi anachotaka apewe kitalu ili afanyie udalali lakini uwezo hana
Tukiwaamba watanzania waungane kama makampuni ni wabishi na wabinafsi..
kwa tulio na elimu ya mambo ya gas tunaona waziri kasema ukweli
tatizo serikali imekimbilia kugawa vitalu bila kuwa na sheria mathubuti inayoanisha mpewa tenda,kodi inayolipwa,mirahaba,ajira,mazingira,nk.

Wote wanaomsapoti huyu bwana wana upungufu wa akili.Kusomea gesi sio kujua kila kitu kuhusu gesi.Mimi niko upande wa Mengi kwamba Gesi inufaishe wazawa.Kwa mfano,tungeweza kuwa na taarifa kamili ya kurun plant moja ,then zaikauzwa hisa kuraise hiyo hela ,na kitakachopatikana watagawana watz, walionunua hizo hisa.Sioni sababu za kuuza vitalu kwa wageni kwani kwa idadi watz tuliyo nayo tunatosha kuchangia fedha za kuanzisha hiyo miradi.
Hapa mie naoa kama vile zinatafutwa fedha za uchaguzi, na pia kuneemesha watu wachache kwa sababu watz ,hatujui haki zetu,mwisho wa siku tutaishia kupata ajira za laki mojamoja na kudanganywa kuwezeshwa kwa ajira.Tuamke watz, nchi inamalizwa ,tutakuwa watwana ndani ya nchi yetu wenyewe.
 
sawa kabisa!huyu dr mengi anataka hata kufanya udalali wa mafuta na gas! 75 years old ila bado anauchu na rasilimali zetu,kama anavyomiliki vitalu vya madini mererani na handeni,then anakuwa dalali kwa wazungu ili apate cha juu,jamani ga&oil mtaji wake nin sawa na nusu ya bajeti yetu na return yake inaweza kuwa baada ya miaka 10

go!go!go professor muhongo !achana na wapumbavu

watanzania tumegeukia biashara ya udalali kila sehemu. wenye kusema ukweli wanaonekana wabaya. tuibane serikali iweke mtaji wa kutosha TPDC kusudi hisa zetu ziwe huko. watu binafsi wengi wetu madalali na wachumia tumbo tu na wala siyo kwa maslahi ya maskini wa nchi hii.

waendeleze vitalu vya madini kwanza ndo waombe vya gesi na mafuta.
 
Huyu Muhongo ana jeuri kwanza kwakuwa hakuchaguliwa na wananhi, pili aliyemteua kamteua na kumpa maelekezo afanye nini kwa manufaa yao wawili na wenzao katika mtandao. si bure huwezi kuwa na ujeuri kiasi hiki. na hii ni tabia ya Kikwte kumwacha mtu ambebee msalaba wakati yeye anachekacheka pembeni, Muhongo anaubeba vizuri msalaba, nyie ongeeni wee, lakini mzigo wa bwana lazima ufike.
 
Kapewa cha juu na mabeberu huyu Muongo
 
watanzania tumegeukia biashara ya udalali kila sehemu. wenye kusema ukweli wanaonekana wabaya. tuibane serikali iweke mtaji wa kutosha TPDC kusudi hisa zetu ziwe huko. watu binafsi wengi wetu madalali na wachumia tumbo tu na wala siyo kwa maslahi ya maskini wa nchi hii.

waendeleze vitalu vya madini kwanza ndo waombe vya gesi na mafuta.

Wengine tulisha uliza hapa kwa nini mnada wa vitalu ufanyike sasa halafu sheria na sera zije mwakani mwezi wa tisa?

Tukisema viongozi wetu wanafanya kamchezo ka chukua chako mapema 2015 imekaribia tutakua tunakosea?
 
Muhongo tatizo lake ni mkweli sana
alichosema ni kweli kwa lugha ya wazi kabisa
labda katumia maneno makali lakini ukweli hakuna mtanzania anaeweza kuwekeza kwenye gas
Ni mtanzania gani na yupi mwenye utajiri wa kufikia USD Billion 540??
hata makampuni ya nje yanasaidiwa na serikali zao kupata hiyo mitaji.
mengi anachotaka apewe kitalu ili afanyie udalali lakini uwezo hana
Tukiwaamba watanzania waungane kama makampuni ni wabishi na wabinafsi..
kwa tulio na elimu ya mambo ya gas tunaona waziri kasema ukweli
tatizo serikali imekimbilia kugawa vitalu bila kuwa na sheria mathubuti inayoanisha mpewa tenda,kodi inayolipwa,mirahaba,ajira,mazingira,nk.

Mkuu tatizo lako na tatizo la watanzania wengi ni business skills, kwa akili yako ndogo unaamini kuwa mzungu au mchina atatoa hela mfukoni mwake kununua kitalu cha gesi kumbe ukweli ni kwamba atabid then akishinda anatumia kitalu hicho hicho kama dhamana ya kukopa na kutajirika na gesi yetu. Kitu ambacho hata mtanzania anaweza akipewa nafasi. Ni upuuzi huu wa kujizuia kuthubutu ndio umeifanya nchi yetu maskini. Wataalam kama wewe Lokissa hamjawahi kufanya hata biashara ya karanga na ndio mko kwenye ofisi kubwa mnakaa meza moja na wafanyabiashara wakubwa wa kimataifa bila kushauriwa na watu kama Reginald Mengi au Ally Mufuruki ndio maana mnaishia kudanganywa na kuiingiza nchi hasara. Mitaji ya biashara zote duniani uko bank na sio kwa makampuni au watu, the difference is dhamana tu, na kwenye gesi dhamana ni kitalu.
 
Hawa mawaziri wa ajabu, MUHONGO gesi mafuta hatuwezi kusubiri,MEMBE hatuwezi kukimbilia suala la EAC sarafu na ardhi
Hapo ndio ujue kuwa adui mkubwa wa mtanzania ni maCCM. Hapo kila mmoja wa hao mawaziri anatetea maslahi yake binafsi. Wanajua kuwa wakiuza saizi vitalu vya gesi watapata hela ya kampeni 2015 waendelee kutuuza kwa faida zao binafsi. Tuikatae CCMJamani
 
Kuna haja gani ya kusema mfu -------- tena mbele ya kadamnasi? Kumtukana mtu ndiyo kuwa mkweli? Lakini wanafalsafa wanasema " Hakuna upumbavu ulio upumbavu mtupu amabao mwenye hekima hawezi kujifunza kitu" Upumbavu sio ujinga. Ujinga unaweza kuondolewa kwa kuelimika, lakini upumbavu hata uwe Profesa unabaki na upumbavu wako, hauondosheki kirahisi.
Muhongo tatizo lake ni mkweli sana
alichosema ni kweli kwa lugha ya wazi kabisa
labda katumia maneno makali lakini ukweli hakuna mtanzania anaeweza kuwekeza kwenye gas
Ni mtanzania gani na yupi mwenye utajiri wa kufikia USD Billion 540??
hata makampuni ya nje yanasaidiwa na serikali zao kupata hiyo mitaji.
mengi anachotaka apewe kitalu ili afanyie udalali lakini uwezo hana
Tukiwaamba watanzania waungane kama makampuni ni wabishi na wabinafsi..
kwa tulio na elimu ya mambo ya gas tunaona waziri kasema ukweli
tatizo serikali imekimbilia kugawa vitalu bila kuwa na sheria mathubuti inayoanisha mpewa tenda,kodi inayolipwa,mirahaba,ajira,mazingira,nk.
 
nivyema prof angetwambia kama gesi isipo chimbwa sasa itaoza
 
Anatumia fursa aliyopewa kukwapua kila kinachowezekana kabla ya 2015. Aliwaita wananchi wa Mtwara kuwa ni vyura na sasa ameamua kuwaita Watanzania wanaotoa maoni yao kuwa ni wapuuzi; hiyo ndiyo picha halisi ya aina ya watawala walio ndani ya serikali na chama chake na ambao pia ni wateule wa mtawala mkuu
 
Mambo hayo! Serikali iliwahi kumfungulia mashitaka Sugu kwa kumwita waziri mkuu --------. Ingawa ilishindwa hatukutegemea tena waziri wa serikali kutumia neno hilo. Huyu waziri anaonekana kuwa arrogant sana!
 
Mpumb.a.vu ni yeye anayegawa mali zetu kwa wageni utafikiri anaowasema hawana mitaji yeye anawawekea pesa hizo benki. Hata Mengi akiwa dalali inamsaidia yeye ka,a mtanzani angalau anaweza kusaidia vilea, wakina mama kupitia vikoba sio hawa wawekezaji, macho yao ni kusomba mali wakielekea kwao huku wakibakiza mashimo.
 
kinachomsumbua muhongo ni 10% anajua wazawa hawawezi mpa hio kitu.

Mkuu katika hali hii huwa nawaza hivyo wizara ya Nagu ina kazi gani - si afadhali isiwepo kama wazawa badala ya kuwezeshwa wanatukanwa. Laana ya kumtukana Mengi itam cost huyu waziri anaeropoka bila diplomasia mithili kakurupuka kutoka wodi ya vichaa. Tuseme ni wivu?? Mhongo muondolee uwaziri ana ubavu wa kushindana na Mengi katika ujasiliamali
 
Muhongo tatizo lake ni mkweli sana
alichosema ni kweli kwa lugha ya wazi kabisa
labda katumia maneno makali lakini ukweli hakuna mtanzania anaeweza kuwekeza kwenye gas
Ni mtanzania gani na yupi mwenye utajiri wa kufikia USD Billion 540??
hata makampuni ya nje yanasaidiwa na serikali zao kupata hiyo mitaji.
mengi anachotaka apewe kitalu ili afanyie udalali lakini uwezo hana
Tukiwaamba watanzania waungane kama makampuni ni wabishi na wabinafsi..
kwa tulio na elimu ya mambo ya gas tunaona waziri kasema ukweli
tatizo serikali imekimbilia kugawa vitalu bila kuwa na sheria mathubuti inayoanisha mpewa tenda,kodi inayolipwa,mirahaba,ajira,mazingira,nk.

USD Billion 540 ni kwa ajili ya nini? Hii namba umeipata wapi?
 
Back
Top Bottom