Inabidi watu kuwa na uelewa mpana. The Mineral right or whatever is not an asset hii ipo kiuchumi. Your share will sound on capital investment. Huwezi kunyoosha suluari tu unasema nina share kwenye mradi kisa tu una jina kwenye leseni. india wana TPDC yao inaendeshwa vizuri tu na inakuwa na share hata Uarabuni kwenye visima vya mafuta. Sasa sisi tukisema tu TPDC intamiliki bila kuweka hata mia tutaambulia zero share. Angalia NDC kwenye Chuma ya Liganga tutakuwa wasindikizaji tu.
Huo uchumi wa wapi mazee? What is capital and what is mineral? Huo siyo uchumi ni accounts!
Kama tunashindwa kuwa na positive polity basi tujaribu sociology watatusaidia sana kuliko kutegemea accountancy kufanya economic decisions!