The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,615
- Thread starter
- #181
Sijawahi kufikiria Kama kuna mtu atakuwa na nguvu ya kuleta uzi wa kuitetea TaNesco jamani hawa kweli walikuwa na CEO au Ni mausanii ya karne na karne Leo mtu anatumia kivuli cha Waziri sijui nini kuitetea TaNesco na uongozi mzima sijui tunataka marekebisho wapi sisi watanzania inawezekana kweli huyo mnaemsema msomi ana mapungufu yake lakini bora ungemtafutia kisa Hata Kwenye madini huko migodini na kwingineko Sio Tanesco please wote tunajua tumeteseka na bado tunateseka na urasimu plus huduma mbovu na mlolongo wa kishenzi kabisa unaofanywa na watumishi wa tanesco hadi Leo bado Tanesco haijakaa vizuri. Waziri awe na maringo kiburi sijui dharau hivyo umeviona wewe personally ila Tanesco watanzania wote tunajua madharau Yao viburi vyao matusi Yao majibu Yao mabaya na mauchafu Yao yote tuache kutafuta vitu vidogo vidogoo Kwenye hatua zinazochukuliwa kuondoa kero za wateja wa Tanesco ambao Ni Mimi na wewe Kama wewe mleta uzi Ni mtumishi wa Tanesco basi ujue hamkuwa wazuri Hata chembe hadi sasa mnabadilishwa tabia zenu kinguvu na mnaumia kuziacha tabia zenu mbaya zimewaganda Kama ngozi vile
Soma vizuri hakuna sehemu nimeitetea Tanesco
nimesema kama ana shida na menejimenti afanye mabadiliko
ateue ingine.....
Two wrongs do not make it right....
kama Tanesco kuna shida ya menejimenti itafutwe menejimenti ya kufaa
sio waziri kuwa 'de facto ceo'
sijui kama unaelewa tofauti yake