mkonongo1938
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 1,990
- 2,400
Kweli umelalamika lakini agizo lake la kusema umeme ushuke bei na service charge itolewe ni agizo muhimu na lenye maslahi na Watanzania
ukute huyu "the boss" ana ka-cheo huko Tanesco, but prof kamtisha kum-fire ndo maana anakuja kulialia humu,tangaza maslai yako na tanesco mkuu, maana inaelekea kuna mrija wako umekatwa na profesa. Haaaaaaaaaaaaaaa.
Majipu yameiva huko TANESCO nashangaa Muhongo anayachelewesha kuyapasua,na moja wapo inawezekana ni wewe!Mkuu fuatilia tu media
hata Tanesco kupunguza bei ya kuunga umeme lilikuwa agizo lake
kwa masharti kuwa serikali itatoa ruzuku
ni kweli inatoa ruzuku but haitoshelezi
na ina maana kuwa Tanesco isijiendeshe kwa faida na isijitegemee
isshi kwa ruzuku......na mwisho ndo hayo kwenda kukopa na deni kuongezeka....
soma hata ile hotuba ya Zitto siku ile anafunga ishu ya Escrow
aliitaja deni la Tanesco before Muhongo lilikuwa bilioni 50
now zaidi ya bilioni 300....
Now ameteuliwa tena na Magufuli anakuja na maagizo tele ya dizaini hiyo
Imprest za mengi,mnaretire humu JF.Mkuu fuatilia tu media
hata Tanesco kupunguza bei ya kuunga umeme lilikuwa agizo lake
kwa masharti kuwa serikali itatoa ruzuku
ni kweli inatoa ruzuku but haitoshelezi
na ina maana kuwa Tanesco isijiendeshe kwa faida na isijitegemee
isshi kwa ruzuku......na mwisho ndo hayo kwenda kukopa na deni kuongezeka....
soma hata ile hotuba ya Zitto siku ile anafunga ishu ya Escrow
aliitaja deni la Tanesco before Muhongo lilikuwa bilioni 50
now zaidi ya bilioni 300....
Now ameteuliwa tena na Magufuli anakuja na maagizo tele ya dizaini hiyo
NaNachojua Deni limeongezeka baada ya TANESCO kukopa Ku-Finance zile project za Umeme wa Gesi.Mkuu fuatilia tu media
hata Tanesco kupunguza bei ya kuunga umeme lilikuwa agizo lake
kwa masharti kuwa serikali itatoa ruzuku
ni kweli inatoa ruzuku but haitoshelezi
na ina maana kuwa Tanesco isijiendeshe kwa faida na isijitegemee
isshi kwa ruzuku......na mwisho ndo hayo kwenda kukopa na deni kuongezeka....
soma hata ile hotuba ya Zitto siku ile anafunga ishu ya Escrow
aliitaja deni la Tanesco before Muhongo lilikuwa bilioni 50
now zaidi ya bilioni 300....
Now ameteuliwa tena na Magufuli anakuja na maagizo tele ya dizaini hiyo
Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni, Huyu Bwana Mhongo ni Mtu Mzuri Sana Tatizo la Watanzania Tumepofushwa na Chuki, fitina, na Majungu, hii ndiyo Sumu inaloliangamiza Taifa Hili.
Kila kiongozi Mzuri, lazima Achafuliwe, jamani Katuroga Nani?
Kwa mtu makini hawezi kubeza wala kudharau utendaji wa Prof Mhongo, huyu Bwana, ni Mtendaji kazi na siyo mtu wa siasa, sote bila chembe ya unafiki, tunafahamu jinsi ambavyo amefanya kazi kubwa sana kwa muda mfupi kwenye sekta ya nishati na madini.
Tuacheni jamani majungu bila kuwa na Fact, ikiwa mtu Anafanya vizuri basi tumpongeze, uo ndiyo uhungwana jamani.
hahahah nilitegemea kitu kama hiki. Tumuambie Magufuli amlete DAU tanesco ili mambo yaende vizuri. This country bwanaHilo tanesco ni shirika la kanisa tuh...management yoote hapo ni waimba kwaya kuanzia juu mpaka chini na hakuna wanachofanya zaid zaid ya wizi na kulitia taifa hasara...ni jipu kubwa kweli kweli...na wasomi wenyewe kama hao kina muhongo basi ni hasara tupu