Bugota
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 265
- 145
Nionavyo mimi kwa muda huu ni bora Muhongo aiongoze TANESCO kwa namna anavyoona yeye kama mtalaamu kwa sababu Shirika hili limekuwa na makandokando kwa muda mrefu na kufanya huduma ya kupata Umeme iwe matajiri au kujuana zaidi kwa sababu hizi hapa:
1. Kupata uunganishwaji wa Umeme imekuwa ni gharama kubwa sana ambapo nguzo zimekuwa zikiuzwa hadi milioni moja.
2. Swala la Service Charges ni jipu la muda mrefu na bado liko kwenye taasisi nyingi za Serikali ikiwemo idara ya maji. Kama kuna mtu anaweza kujustify mstumizi halisi ya pesa za Service Charge kwa mteja ambaye hata nguzo, waya na mita alijinunulia mwenyewe, basi atuambie hapa. Hata upande wa Idara za maji tunalipa sh 2500 kila mwezi kama service Charge. Izingatiwe kuwa ukitaka kupata maji siku hizi wanakuja nawapima umbali toka chanzo cha maji hadi nyumbani kwako then unapewa bill yote hata ile ya gharama za bomba kubwa unalundikiwa wewe. Kama haitoshi, bomba lako likipasuka na ukawaita mafundi toka idara ya maji, jiandae pesa ya connectors, usafiri na ufundi. Je haya sio majipu? Hao wakurugenzi wa Bodi ya TANESCO ni majipu tu watumbuliwe maana miaka yoote ni polojo tu hatuna umeme wa uhakika. MUHONGO Tumbua majipu hayo haraka na mshauri yule waziri wa maji naye aanze na issue ya Connection na Service charges za maji ni majipu yameiva yanasubiri mtumbuaji tuuu.