Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

Muhongo anaivuruga TANESCO, Magufuli yuko wapi?

hawawezi kushusha ni selfishness imewajaa.. wenyewe tanesco wanauziana umeme shilingi 9000 wanapeana unit 700 kila mwezi... je watamjali vipi mtanzania duni... je wafanyakaz wa tra hawalipi kodi??? au walimu wao hawana umuhimu
baadhi yao wana ubinafsi sana.ila namkubali mkurugenzi mkuu bw. Mramba
 
Waziri ana mamlaka zaidi ya ewura. Kibaya ni kama kuna kitu kimeharibika lakini km lengo ni kuhakikisha wananchi tunapata huduma bora mimi sioni tatizo
kuna tofauti kubwa sana kati ya mamlaka na uwajibikaji

ukijua hilo utakuwa mtu wa maana
 
TANESCO sasa inatengeneza hasara ya zaidi 400 billions!!!

Nchi hii wadanganyika wamelala usingizi wa mauti.....
 
Mkuu The Boss,ni vema kama hao wataalam wa Tanesco wakajiuzulu kama wanaona wanaingiliwa katika maamuzi
Kupunguza umeme hakuepukiki baada ya gharama za uzalishaji kushuka na uzalishaji kuongezeka mpaka sasa tuna ziada ya megawati 100,na bado zitashuka zaidi kinyerrezi III itakapoanza kazi
 
Humu ndani kuna wana mtandao wanaendelea kumchafua prof. Muhongo kwa sababu ya chuki zao tu. Sasa nasema hivi, prof. Muhongo chapa kazi wananchi huku mitaani wanasema, wanakuhitaji wewe kwa sasa kuliko hao management ya Tanesco wanaopeana umeme wa unit 700 kwa mwezi.
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya mamlaka na uwajibikaji

ukijua hilo utakuwa mtu wa maana
at least yeye analeta kitu kipya katika kuboresha. Hilo unalolisema ndilo miaka yote lilikuwa likifanyika na tija au hasara yake hakuna asiyejua.
 
Usiwe unatazama mambo kwa roho ya kimasikini

Wafanyakazi wa Tanesco huo umeme ni jasho lao
ukifanya kazi Daily News gazeti hununui
ukifanya kazi tigo au voda airtime hununui
iko dunia nzima

hata wapiga debe tu daladala hawalipi nauli.....
Kwaiyo na wafanyakazi wa TRA wasilipe kodi eeeh??
 
Binafsi MUHONGO huwaananiudhi tabia Yake ya dharau. Lakinini ukweli anafanyakazi Nzuri máana alipoteuliwa tu kuwa Waziri M gao wa Umeme umekwisha. Bravo mhungo.
 
at least yeye analeta kitu kipya katika kuboresha. Hilo unalolisema ndilo miaka yote lilikuwa likifanyika na tija au hasara yake hakuna asiyejua.
napingana na wewe kabisa

we need to strengthen systems sio kuzivuruga for a short term gains... ni sawa na kuuza ngombe ili ununue bakora
 
napingana na wewe kabisa

we need to strengthen systems sio kuzivuruga for a short term gains... ni sawa na kuuza ngombe ili ununue bakora
Hiki ni kipindi cha mpito hivyo hizo chaos should be expected while revamping the broken systems.
 
tatizo la ile wizara haikuwa mawaziri hilo unalijua vuzuri sana. tatizo ilikuwa ikulu mzee.
Ni kweli...

Lakini hauoni kwamba sasa tatizo sio ikulu tena kwahiyo Muhongo should allow the system iwe established? hauoni kwamba na yeye anakua tatizo kama ilivyokua ikulu?

I trongly believe kwamba Muhongo would do shirika a big favor kwa kukomalia establishment/strengthening ya structures, processes na functions za tanesco kupitia kwa watendaji kuliko yeye kujivika madaraka yote.... otherwise tutakua na matatizo ya accountability, je atajiwajibisha mwenyewe?
 
Nimewahi kuweka thread za Waziri Muhongo kuja na sera zake binafsi za kuinyang'anya TANESCO 'uzalishaji na kubinafsisha' so far ni kama amepigwa stop ameacha kuzungumza hayo lakini sasa anachokifanya kwa TANESCO ni hatari zaidi.

Muhongo yeye ni waziri lakini ni zaidi ya CEO wa TANESCO anaingilia utendaji wa kila siku now anatoa maagizo yeye mwenyewe moja kwa moja kwa mameneja wa TANESCO wa kanda mameneja wa wilaya mameneja wa mkoa na watedaji wengi wa TANESCO.

Kilichopo now TANESCO ni kama chaos chochote menejimenti ya TANESCO ikiamua, Muhongo anaagiza wafanye kinyume chake au vile anavyoona yeye inafaaa. Yeye ni kama 'de facto CEO' wa TANESCO ieleweke kuwa yeye Muhongo hajawahi kuongoza chochote huko nyuma kabla ya kuwa Waziri na baadhi ya maamuzi yake na 'amri' zake kwa TANESCO yamepelekea deni la TANESCO liongezeke mara 5 zaidi na mtu yeyote mwenye akili anajua 'athari' za taasisi kubwa kama TANESCO kuwa wanapokea maagizo ambayo mengi siyo ya kitaalamu ni ya kisiasa kwa mtu nje ya shirika.

Ushauri wangu kwa Magufuli kama wana tatizo na menejimenti ya TANESCO ni bora kuibadili kuliko hii ya sasa ambapo menejimenti ipo lakini maamuzi yote anafanya waziri sababu mwisho mambo yakiharibika itakua uonevu mkubwa kuipa lawama menejimenti.

Vikao vya Muhongo na mameneja wa kanda na mikoa wa TANESCO vinaripotiwa hadi na media wakati mwingine vikao hivyo Waziri Muhongo anafanya bila kushirikisha menejimenti ya shirika na maamuzi ni amri tu.

Magufuli anayajua yote haya?

Huu ni mfano mmoja tu wa interference ya waziri kwa menejimenti: Muhongo kutimua mameneja Tanesco

Huu mchango wa member mmoja humu nauweka hapa kwa faida ya wengi;
hivi na hizo posho a.k.a bonansi alizozizuia ni sehemu ya kuharibu shirika?
 
Ni kweli...

Lakini hauoni kwamba sasa tatizo sio ikulu tena kwahiyo Muhongo should allow the system iwe established? hauoni kwamba na yeye anakua tatizo kama ilivyokua ikulu?

I trongly believe kwamba Muhongo would do shirika a big favor kwa kukomalia establishment/strengthening ya structures, processes na functions za tanesco kupitia kwa watendaji kuliko yeye kujivika madaraka yote.... otherwise tutakua na matatizo ya accountability, je atajiwajibisha mwenyewe?
leo tumeelewana kwamba lengo ni ufanisi zaidi bila kujali who oversee it. safi sana mzalendo mwenzangu.
 
leo tumeelewana kwamba lengo ni ufanisi zaidi bila kujali who oversee it. safi sana mzalendo mwenzangu.
Natumaini kwamba umeelewa that MUhongo's approach could be counter productive and un-stainable intervention to a systemic issue
 
Natumaini kwamba umeelewa that MUhongo's approach could be counter productive and un-stainable intervention to a systemic issue
That is your opinion. And who am I to control it? Ngoja tuone time will tell. Sekta ya umeme ikiimarika na madini yaani uchimbaji na biashara yake ikienda safi nadhani ndio cha muhimu zaidi.
Mengine kama approach na tactics wasomi tutaendelea kujadili kwani ni more phylosophical issue. Kwa mwananchi wa kawaida anachotaka ni huduma bora zitakazorahisisha maisha yao tu.
 
Mkuu,

Those were my opinions... Kuna mtu mmoja ameshare ile clip ya Muhongo anazungumzia the three KPIs za tanesco na ukiangalia kwa undani, na kama humjui Muhongo, utajua yeye ndio DG wa tanesco

I see him as a very higher authority person who just need to instruct tanesco DG and the DG to be following order, I dont believe in minister kuwa kwenye micro management level ya day to day operations za shirika

Prof is way better than hii style ya Kigwangallah
 
Unajua tunaweza biashana bila mwisho tusipoangalia. The thing is, in my opinion, in Africa systems are not that strong anywhere. And who weaken them are the very leaders of ours we trusted to help build them. Kinachotokea ni mkibahatika mkapata kiongozi, waziri au DG mwenye nia njema mambo yataenda na mkipata mlaji ndio hivyo wanajipa bonus hata bila shirika kupata faida.
Nitakupa mfano mmoja kuthibitisha individualism vs system. Wakati wa Mwaibula Dar palinyooka in terms of daladala. Alipoondoka hamna hata mtu anajua aliyem-replace.
It is for that reason, I decided to not lean on no political party or the so called interference of responsibilities like that of Muhondo and DG. To me whoever facility the availability of services to citizen is ma man.
Look at this example of Lugumi scandal. Ni kinyaa ndugu yangu. Look at Wafanyakazi hewa. Kichefuchefu. Huku watu wanalala chini mahospitalini na wanafunzi wanakaa chini madarasani.
Mimi hata angeshinda Lowassa au huyu Magufuli au huyo Muhongo kuingilia majukumu for now I don't care. That I say very cautiously with contingency of delivering good services to people.
 
Back
Top Bottom