Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
ebwana inakuwaje babu?
watu hawataki kukubali ushahidi...halafu hawawezi kuleta wa kwao. Halafu wanadai tumeishiwa hoja....go figure
Issue hapa sio mimi kuleta hapa jipya. Kumbukumbu zangu zaonesha kuwa Mugongo na CMB wametoa madai ya kudai kujua alikokuwa JK that day na kuleta picha ambazo hazina ushahidi wowote wa lini na muda gani zilipigwa.
Mpaka hapa watakapoleta ushahidi wa muda, hizo picha sio evidence tosha ya kuback up madai yao. Naona wewe ndio umeanza mapya kwa kuita watu mabwana zangu hapa...good job kwa mjenga hoja kama wewe
Kama ushahidi wenu ni weak basi hamuna hoja yoyote. Leta ushahidi kwanza....simple request!
ebwana inakuwaje babu?
watu hawataki kukubali ushahidi...halafu hawawezi kuleta wa kwao. Halafu wanadai tumeishiwa hoja....go figure
Wa kwako wenye nguvu (zaidi ya huo wa maneno) uko wapi?
Mbona inachukua muda hivyo kuuweka hapa...?
huyu mwanamke mbona ana moto namna hii, ameanza lini hapa JF?
Nikitoa madai hapa nitatoa ushahidi. Kwa sasa nime-create doubt kuhusu picha za CMB na madai ya muongo.
BTW..usijaribu ku-avoid issue ya France. Bado nasubiri evidence za claims zako.
Hana moto wowote Sam. Anabisha tu ili mradi. Mpaka sasa hajatoa ushahidi wake....ana recycle tu.
Unaposema huamini hizo tarehe, hayo ni madai tosha. Kwa hiyo lete ushahidi wako.....acha kucheza sarakasi za maneno hapa!
Una kazi kweli wewe....waruhusu muongo na CMB walete evidence ya madai na picha zao....imekuwa kazi sana kwa wewe ku-overcome hii doubt niliyocreate hapa. Jibu ni simple.....evidence
Sasa huo ushahidi anaoutaka ni upi zaidi? Ngoja mimi nimsome The Queen of The Weave na Kim halafu nilale zangu hawa waafrika wa kike sina muda nao siku hizi. Tutawasilimia babu.
Evidence cuts both ways...
Good for you na huyo "queen" wako. Waafrika wa kike wako hapa to stay. Huna choice zaidi ya kuishi na hiyo reality from today on.
mmmh ngoja nilale salamaGood for you na huyo "queen" wako. Waafrika wa kike wako hapa to stay. Huna choice zaidi ya kuishi na hiyo reality from today on.
Nadhani unazijua both ways of this issue- ya Mkandara na ya CMB + muongo. Mkandara kashindwa kuleta evidence na inavyooneka pia Muongo na wenzake evidence hakuna.
Hii forum siyo sehemu ya kutafuita wanaume...umesikia wewe malaya usiniingilie anga zangu