Muhidini Issa Michuzi Huu Sasa ni Uhuni!

Muhidini Issa Michuzi Huu Sasa ni Uhuni!

Huyo mchuzi hana upeo wa kielimu, ni walewale bendera fuata upepo. Huoni ni jinsi gani anavyopandisha kiswanglish kwenye blog yake akifanya utaniutani kumbe ndiyo kweli. Msimulaumu yeye ni system ya CCM ndiyo ilivyotukuza ila inahitaji upeo wa kielimu kujikwamua na ukoloni mamboleo wa CCM.

Mimi kwenye blog yake huwa naenda kuangalia tu X-change rate na bureau de change za mtaani. Ila siku hizi hato yuko kwenye campaign!!
 
Muhidin is a failure. Ni mpiga picha wa mgonjwa wa kuanguka JK.
 
Wakuu nilikuwa napitia pitia katika globu mbalimbali nikabahatika kuangukia kwa inayoitwa globu ya jamii ya Muhidini Issa Michuzi. Nimeshangazwa na habari picha nilizoziona zikionyesha mikutano ya kampeni ya chama cha upinzani chadema huku baadhi ya picha zikiwa na ujumbe wa bango la chama tawala. Nionavyo hapa golobu ya jamii imekiuka maadili ya uandishi kwa makusudi.

Maana kwa kufanya hivyo ni sawa na habari ile kuwa inapotosha mtazamaji/msomaji wake. Ujumbe wake hauendani na taswira inayoonekana au mwandishi alivyokusudia.

Picha inaonyesha kampeni za chadema sehumu kubwa ya picha hiyo imetolewa bango la CCM, huu si upotoshwaji wa makusudi na kukiuka maadili ya kihabari yanayotaka habari isipotoshe umma kwa muonekano wake ama kwa ujumbe wake?

Mimi si mwandishi/mpiga picha ila najuwa kuwa hakukuwa na ulazima kwa globu ya jamii kupiga picha zile kwa namna ile huku wakijuwa kuwa haitaleta tafsiri sawa, vinginenvyo niamini kuwa imefanywa makusudi kuwadhalilisha na kuwafedhehesha wapinzani na kampeni zao, kwa kuipendelea CCM!

Picha, kwa wataalamu wanajuwa, kuwa inaweza kupigwa ama horizontal, aerial or oblique...na angle zote hizo unaweza kuepuka object ambayo hutaki itokee katika picha, tuseme Michuzi hafahamu hili au anafanya makusudi uhuni huu?

Kama golobu ya jamii inaona kero kuweka picha za vyama vya upinzani si wasiweke tu, kwani nani anawalazimisha waweke kihuni huni kama vile?

Hivi Michuzi akiambiwa anaipendelea CCM ndiyo anafanya inadi na inda kwa kufanya uhuni wake kama vile!
Michuzi haoni haya kuwa anajishusha kikazi kwa kuweka picha zenye ujumbe wa kupotosha kama zile?

Wapenda mageuzi na maadili ya uandishi wanapaswa kulani uhuni huu wa golobu ya jamii ya kupotosha kwa makusudi maadili ya picha za kihabari na uandishi kwa ujumla.http://www.issamichuzi.blogspot.com/

Mkuu nami nilipita maeneo ya michuzi yaani kachakachua picha za Chadema. Hili jamaa linaomba ukuu wa wilaya tangu muda mrefu. Linapenda kujipendekeza sana hili jamaa. Si unajua tena kuwa yuko katika kampeni naye? Kuna baadhi ya kampeni anahudhuria!! After all ni mwajiriwa wa taasisi ya umma ya vyombo vya habari ambapo kazi yake si mmeshaiona katika upendeleo wa coverage ya kampeni? Anasubiri fadhila huyo.
 
Majibu kama haya ndo nayachukia kupita yote! He is a civil servant and the simplicity of the matter is that, HE SHOULD NOT BE BIASED! Kama ni hivyo, aache kabisa kuweka picha za serkali na aanze za chama. Maana jinsi alivyo-potrait blog yake, ni tofauti na anavyofanya sasa ivi!
Being a civil servants does not deny someone to be or not to be him/herself. A web log or blog is a sort of personal diary which someone maintains. He/She has a write to propagate his/her inclination no matter what you think. If we see a lot of CCM propaganda in his blog then you should know he is a member or fan of CCM. And so is to other blogs. There is already here jamvini a discussion of news reporting in some papers as especially the private ones. I personally get disturbed when I read the Daily News features which are more party propaganda than government opinion. We have a long way to learn the differences between party, government and personal opinion. For this I won't be crucifying Michuzi for running his blog the way he wants.
 
Isa michuzi ni design ya makamba amebahatika tu kuweno katika misafara ya rais nchi za nje akiwa mpiga picha. He is good for nothing. mnapoteza muda wenu bure
 
Kwani hamjui kuwa Michuzi ana kazi mbili, nyingine ni UWT. Je mwashangaa kwa nini anahujumu Upinzani?!
 
isa michuzi ni design ya makamba amebahatika tu kuweno katika misafara ya rais nchi za nje akiwa mpiga picha. He is good for nothing. Mnapoteza muda wenu bure

inasema wazi ukishindana na shici utakuwa chizi watu kama hawa tuwasamehe man kubadilika mpaka malengo yao yatimie so yawezekana haata 10 yrs akawa hivyo hivyo

mwachen dunia itamfundisha
 
Issa Michuzi njoo ujibu hii tuhuma inayokukabili!
 
(VODACOM = CCM) Mabango ya Voda yamekuwa replaced na YA JK;
VODACOM mdhamini wa michuzi blog .......................wht do we expect?
Wakuu nilikuwa napitia pitia katika globu mbalimbali nikabahatika kuangukia kwa inayoitwa globu ya jamii ya Muhidini Issa Michuzi. Nimeshangazwa na habari picha nilizoziona zikionyesha mikutano ya kampeni ya chama cha upinzani chadema huku baadhi ya picha zikiwa na ujumbe wa bango la chama tawala. Nionavyo hapa golobu ya jamii imekiuka maadili ya uandishi kwa makusudi.

Maana kwa kufanya hivyo ni sawa na habari ile kuwa inapotosha mtazamaji/msomaji wake. Ujumbe wake hauendani na taswira inayoonekana au mwandishi alivyokusudia.

Picha inaonyesha kampeni za chadema sehumu kubwa ya picha hiyo imetolewa bango la CCM, huu si upotoshwaji wa makusudi na kukiuka maadili ya kihabari yanayotaka habari isipotoshe umma kwa muonekano wake ama kwa ujumbe wake?

Mimi si mwandishi/mpiga picha ila najuwa kuwa hakukuwa na ulazima kwa globu ya jamii kupiga picha zile kwa namna ile huku wakijuwa kuwa haitaleta tafsiri sawa, vinginenvyo niamini kuwa imefanywa makusudi kuwadhalilisha na kuwafedhehesha wapinzani na kampeni zao, kwa kuipendelea CCM!

Picha, kwa wataalamu wanajuwa, kuwa inaweza kupigwa ama horizontal, aerial or oblique...na angle zote hizo unaweza kuepuka object ambayo hutaki itokee katika picha, tuseme Michuzi hafahamu hili au anafanya makusudi uhuni huu?

Kama golobu ya jamii inaona kero kuweka picha za vyama vya upinzani si wasiweke tu, kwani nani anawalazimisha waweke kihuni huni kama vile?

Hivi Michuzi akiambiwa anaipendelea CCM ndiyo anafanya inadi na inda kwa kufanya uhuni wake kama vile!
Michuzi haoni haya kuwa anajishusha kikazi kwa kuweka picha zenye ujumbe wa kupotosha kama zile?

Wapenda mageuzi na maadili ya uandishi wanapaswa kulani uhuni huu wa golobu ya jamii ya kupotosha kwa makusudi maadili ya picha za kihabari na uandishi kwa ujumla.http://www.issamichuzi.blogspot.com/
 
i suggest u do "michuzi n his blog" a big favour..."PUT THEM IN UR IGNORE LIST"....how does it sounds??.... unamfahamu vizuri that guy???.... basi mtavute kwa njia zako utamfaahamu then huitaji kujiuliza y he is doing soo.... "HIS A MAN IN GREEN DUTY LINE"....finish
 
mwenye shida ni wewe. Ulifuata nini huko wakati wenzio tulishaacha kupatembelea miaka mingi? Hata link yao sijui.

Ni makosa kwenda mtoni kuoga ukakuta na mama yako anaoga na ukaendelea kuchungulia chungulia. We ukishaona mama yu uchi kwa haraka geuza shingo na usiangalie huko tena. Kosa si kumuona mama uchi kosa ni kuendelea kumuangalia akiwa uchi.

hizo picha nimepiga mimi nikazituma kwenye blog ya michuzi.

Hao jamaa wa chadema hesabu zao ilikuwa wafanye mkutano kwenye bango la ccm ili kuwahadaa wapita
View attachment 14124

njia kuwa ule ni mkutano wa ccm ili waende kuhudhuria.

Sasa mimi sioni kosa kwani ccm inamvuto hata wapinzani wanapenda kupiga picha na kufanyia mikutano ya kwenye maeneo na mabango ya ccm

View attachment 14123
 
hizo picha nimepiga mimi nikazituma kwenye blog ya michuzi.

Hao jamaa wa chadema hesabu zao ilikuwa wafanye mkutano kwenye bango la ccm ili kuwahadaa wapita njia...
View attachment 14124

Mkuu tatizo hapa ni picha zimekiuka maadili ya uandishi wa habari kwa kupotosha ujumbe..kwanini chadema walifanya mkutano hapo siyo issue hapo, wala haihalalishi kwa mwandishi /mpiga picha kutoa picha za kupotosha. Nina hakika mpiga picha makini angeweza kupiga picha hizo tofauti na zanavyoonekana hapo. Ni uhuni tu...!!
 
Hili bango liko pale Morogoro kwenye round about ya masika, yaani kama unatoka Dar ni round about ya kuingia mjini, so pale karibu kuna uwanja mdogo hivi wa wazi na huwa unatumika sana kwa mikutano ya siasa na dini, kwa mtazamo wangu na kwa jinsi ninavyofahamu ukubwa wa lile bango na jiografia ya ule uwanja pale, nadhani kulikuwa hakuna jinsi ya kupiga picha ile bila bango lile kuonekana! ki ukweli there was no way out to avoid that CCM placard to appear on that pic!
 
Mtanzania la Leo Ukurasa wa 7 je ni Michuzi pia??
 
Hili tamko halijamtendea haki Issa. Nimetembelea blog hiyo na kuziangalia picha kwa umakini. Nilichogundua ni waandaaji wa Mkutano wa CHADEMA hawakuwa au si makini kwani waliandaa mkutano kwenye uwanja ambapo kuna Bango la CCM angalia picha hapa chini. Tuzungumze hoja na si Ushabiki.View attachment 14101
Nenda kule tuletee hapa na mipicha mingine ya Chadema zaidi ya hii na zile za ufunguzi. Najizuia kutoa tusi tu.
 
Mwambieni prof Baregu kwamba Chadema hawawezi kupata ushindi kwa startegy ya JF na magazeti tu. Inabid kwenda mbali zaidi. Kuna wagombea wanajitoa na hamtaki hayo yasemwe. JF mara kadhaa wanafuta thread zinazoisema chadema na slaa vinginevyo. Nawatakia kujifariji kwema.
Wait for the breaking news sir/madam..........................................
 
hizo picha nimepiga mimi nikazituma kwenye blog ya michuzi.

Hao jamaa wa chadema hesabu zao ilikuwa wafanye mkutano kwenye bango la ccm ili kuwahadaa wapita
View attachment 14124

njia kuwa ule ni mkutano wa ccm ili waende kuhudhuria.

Sasa mimi sioni kosa kwani ccm inamvuto hata wapinzani wanapenda kupiga picha na kufanyia mikutano ya kwenye maeneo na mabango ya ccm

View attachment 14123

crap
 
Kama uliiona ile zawadi aliyojinunulia michuzi wakati ameenda safari fulani nje usinge hata jishugulusha na kujua michuzi ni mtu wa aina gani.. alinununua lidude la mpingo hivi... sa mtu kama huyo unatembelea blogu yake.... yale madude ulaya huwa wananunua wanawake kwa ajili ya kujipoza, naye amekuja nalo la kujipozea.... Wale ndo watanzania walionufaika na sera ya jikombe ukomborewe so atawatukana sana nyie watu wa vyama vingine tofauti na kinachopeleka mkono wake kinywani.
 
Hapo njia ni moja tu ! msiitembelee kama ina waboa. Binafsi huwa naingia jamiiforums nikitoka naingia facebook na yahoo siku imeisha.

Hii ndiyo njia pekee. Mimi ni mtu aliyekwishajitoa kwa Michuzi muda mrefu. Sababu kubwa ni kuwa alikuwa hana Update zo zote zile. JF ndipo mahala ambapo unapata habari za haraka within seconds. Watu wanapost kupitia simu zao. Michuzi anasubiri apate kibali kwa wakubwa.
 
Back
Top Bottom