Muhas waanza kurudishwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhas waanza kurudishwa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nyalotsi, Jan 6, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Wale madaktari na watumishi wa afya wa miaka ijayo waliosimamishwa chuo kwa tuhuma za kuwa vinara wa mitafaruku wameanza kurudishwa mmoja baada ya mwingine. Kila m1 anaitwa kwenye kamati ya nidhamu na baadaye anaelekezwa kwenda chuoni kusaini mkataba mbele ya mwanasheria wa chuo. Mkataba huo unahusu kutojihusisha na vuguvugu lolote chuon hapo kinyume chake unafukuzwa chuo. Mahojiano yameanza tar 4 na bado yanaendelea. Source-wahusika waliorudishwa
   
 2. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Kaka wanarudishwa lakini wengine kwenye wale wale waliohojiwa na panel tar 4 wanfz kama 6 wameambiwa waendelee na suspension hadi watakapoitwa wakiambiwa kesi zao nzito watulie kwanza
   
Loading...