Muhammad Alimaanisha nini Kumwambia hivi Allah?

Katika kitabu hiki cha shehe MUZAFFAR AHMAD DURRANI, kuna tafsiri ya Qur an 17:81 nayo inakwenda kama ifuatavyo

Tafsiri: "Mola wangu uniingize mwingizo mwema".

Wanazuoni wa dini ya Allah hapa Muhammad alimaanisha mwingizo gani alitaka aingizwe na Allah?
Tafsiri ya Sheikh Ibnu Kathir inaeleza baada ya watu wa Makka kumfanyia uadui, aliagizwa kuenda Makka ndipo mtume Muhammad akamuomba Allah amuingize Madina kwa wema na amtoe Makka kuelekea Madina kwa wema. Maelezo mengine mo kwamba alimuomba Allah amuondoe dunia (amfeshe) kwa wema na amfufue siku ya Qiyama kwa wema.

Ni hivyo hivyo tafsiri ya Qurtubi naye akaongeza maana nyingine ya aya hii kwamba mtume SAW alimuomba Allah amuingize ie amuwezeshe kuingia katika maamrisho yake kwa wema na amuwezeshe kuepuka makatazo yake kwa wema.

Nawasilisha.
 
Katika kitabu hiki cha shehe MUZAFFAR AHMAD DURRANI, kuna tafsiri ya Qur an 17:81 nayo inakwenda kama ifuatavyo

Tafsiri: "Mola wangu uniingize mwingizo mwema".

Wanazuoni wa dini ya Allah hapa Muhammad alimaanisha mwingizo gani alitaka aingizwe na Allah?
Hapa umepotosha. Aya hii inaanza na neno "sema" ambalo wewe hukuliweka kwa makusudi ili kuwapotosha wasiojua. Baada ya hayo, sasa soma tena comment #24. Sisi tuliojaaliwa kujua tutaonesha kwamba wewe ni muongo na mpotoshaji.
 
Si kweli, nimeweka kitabu hapo juu nilicho nukuu, Semeni alitaka kuingizwa mwingizo gani?
 
Hiyo aya umeisoma vizuri? Ni Muhammad ndiye anayesema hivyo? Ni vizuri kujifunza kusoma, vinginevyo utatawaliwa na mihemko.
Ndiyo, kwa mujibu wa tafsiri hapo juu ni kwamba Muhammad anaomba kuingizwa na Allah na anataka mwingizo mwema, sijui ni upi huošŸ˜‚
 
Kama Muddy alishawahi kuliwa denda na Mwanaume mwenzake, si ajabu hapo alikuwa analilia kupenyezewa tango na Allah.
 
Si kweli, nimeweka kitabu hapo juu nilicho nukuu, Semeni alitaka kuingizwa mwingizo gani?

Ndiyo, kwa mujibu wa tafsiri hapo juu ni kwamba Muhammad anaomba kuingizwa na Allah na anataka mwingizo mwema, sijui ni upi huošŸ˜‚
Hajasema Muhammad SAW. Hii ni aya Allah anamwagiza Muhammad SAW na Waislamu wengine waombe dua hii. Haya si maneno yake na wala hajasema yeye.
 
Si kweli, nimeweka kitabu hapo juu nilicho nukuu, Semeni alitaka kuingizwa mwingizo gani?

Si kweli, nimeweka kitabu hapo juu nilicho nukuu, Semeni alitaka kuingizwa mwingizo gani?
1. Rejea Quran 17:80/81 kulingana na chapa uliyonayo halafu sema.
2. Kitabu unachozungumzia kinaelekeza dua ya kuomba Muislamu anapoingia makazi mepya ambapo mtunzi anawaelekeza wanaotaka kuingia makazi hayo waombe dua hii. Kwa maana hiyo kwa mujibu wa kitabu hicho, swala namba 10, hiyo si Quran bali ni dua inayopaswa kuombwa na yeyote awaye.

Aya ya Quran imeanza na neno "قل" lenye maana "sema"ambalo wewe hukulisema ili kupotosha, ila kwa bahati tunajua na sasa tunaonesha upotoshaji wako ili watu waelewe.

3. Angalizo: Quran 2:2 inasema " hiki ni kitabu hakina shaka ndani yake ni uongofu kwa wanaomcha Mwenyezimungu". Wewe ukijaribu kukiletea changamoto utaadhirika. Achana nacho.
 
Soma tafsiri hiyo hapo kwenye kitabu cha shehe, Muhammad anaomba kuingizwa muingizo mwema na AllahšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Quran ni kitabu cha upotoshaji,wewe Zawadini naomba unijibu swali langu! Ktk dini ya uislamu ALLAH ni mmoja pekee hana mwana wala ndugu je, "Quran 15:26 allah anasema, na TULIWAUMBA mtu kwa udongo unaotoa sauti unaotokana na matope yaliyotiwa sura" 15:27 anaendelea kusema "na majini TULIWAUMBA kabla kwa moto wa upepo umoto" Hapa Allah alikuwa na nani kipindi wanawaumba wanadamu pamoja na majini?
 
Tafsiri ile ni ya dua ambayo mtu anaomba akiingia kwenye makaazi mepya na wala hasemi Muhammad SAW. Utaaibika na watu watakuona ponjoro hayawani, usiyejua kitu.
 
Quran ni kitabu cha upotoshaji,wewe Zawadini naomba unijibu swali langu! Ktk dini ya uislamu ALLAH ni mmoja pekee hana mwana wala ndugu je, "Quran 15:26 allah anasema, na TULIWAUMBA mtu kwa udongo unaotoa sauti unaotokana na matope yaliyotiwa sura" 15:27 anaendelea kusema "na majini TULIWAUMBA kabla kwa moto wa upepo umoto" Hapa Allah alikuwa na nani kipindi wanawaumba wanadamu pamoja na majini?
Ni utaratibu wa kawaida mtu wa kawaida kufanya kitu halafu akasema "tumefanya" ili kuonesha ukuu/mamlaka yake. Sasa binadamu wa kawaida anasema hivyo seuze Mungu - muumba wa kila kitu. Karibu sana.
 
Achana nae huyo Ukafiri unamsumbua
Ni kweli lakini tumuoneshe njia, awache kusema uongo na kupotosha kwa mambo ambayo yako wazi. Yeye anadhani sisi hatujui na hatuwezi kumjibu. Hili ndilo ninalolifanya. Huyu mpaka akae sawa.. ndio niachane naye.
 
Ni utaratibu wa kawaida mtu wa kawaida kufanya kitu halafu akasema "tumefanya" ili kuonesha ukuu/mamlaka yake. Sasa binadamu wa kawaida anasema hivyo seuze Mungu - muumba wa kila kitu. Karibu sana.
mfano, serikali kujinadi kwenye miradi yake kuwa tumefanya hiki tumefanya kile kwa sababu serikali ni taasisi ina watu,je Mungu/Allah alimuumba mwanadamu akiwa na nani? Usikwepe kujibu swali
 
Back
Top Bottom