Muhammad Alimaanisha nini Kumwambia hivi Allah?

Muhammad Alimaanisha nini Kumwambia hivi Allah?

Bhahahahaaa, amakweli uislamu ni kituko, kuna ile nyingine ya muhammad kuiba ngawira wakati wenzake wamemshtukia eti Allah akashusha aya usiku kusema, mtume haibi bali anachukua.
Hii dini ni kituko sana sema tu wakristo huwa Hawana time na dini nyingine zaida ya yesu hivi imaging mtu from nowhere anakuja anasema ameoteshwa aazishe dini na watu wanamwamini
 
mfano, serikali kujinadi kwenye miradi yake kuwa tumefanya hiki tumefanya kile kwa sababu serikali ni taasisi ina watu,je Mungu/Allah alimuumba mwanadamu akiwa na nani? Usikwepe kujibu swali
Sikwepi swali na nimeshajibu. Upweke wa Mungu uko wazi. Kwa hii soma Quran 112:1 - 4
 
Ni kweli lakini tumuoneshe njia, awache kusema uongo na kupotosha kwa mambo ambayo yako wazi. Yeye anadhani sisi hatujui na hatuwezi kumjibu. Hili ndilo ninalolifanya. Huyu mpaka akae sawa.. ndio niachane naye.
InshAllah
 
Back
Top Bottom