Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,621
Peleka huko mpuuzi wakoHicho cha maana fanya wewe, si lazma kila jambo ujifanya mjuaji
Peleka huko mpuuzi wakoHicho cha maana fanya wewe, si lazma kila jambo ujifanya mjuaji
Kwani Yale maombi ya upako ambayo waislamu walifanya hpa Tz na kuimaliza Corona hayakuweza kufika Saudia? Au kwa nini Mh. Mufti Mkuu hakuwapa upako waislamu wenzake Wa Saudia ili nao wafanye maombi kama Yale na kuitokomeza ili Mahujaji wasizuiwe kwenda kufanya ibada? Au waislamu Wa Saudia imani yao ni haba kuliko waislamu Wa kwetu?
Muumini wa nini?Mimi kama muumini na haki ya kujua
Naomba uniache mkuuMuumini wa Nini??.
WAZEE WAKUKOSOA HAMKOSEKANI KO' UNATAKA AKAZINDUE MADARAJA ILI UJUE KAMA YUPO NA ANAFANYA KAZI?Hivi huyu babu hastaafu? maana ni wa kitambo sn alafu hakuna anachofanya hana tofauti na Lipumba.
Nyoosha maelezo yako vizuri mkuu, Ibada ya Hijja haikufutwa bali Mahujaji kutoka nje ya Saudia hawataruhusiwa kuja kuhiji , only wataruhusiwa baadhi ya waliomo ndani ya nchi ya Saudia kufanya ibada hiyo.Habari wadau..!
Ni mwaka wa pili sasa wale ndugu zangu waislam hawataweza kutekeleza ile nguzo muhimu ya uislam yaani ibada ya hijja.
Watanzania hawataweza kwenda hijja mwaka huu ,tangazo limetolewa na shekhe mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zuberi Ally leo hii.
Pambana na hali yakoWAZEE WAKUKOSOA HAMKOSEKANI KO' UNATAKA AKAZINDUE MADARAJA ILI UJUE KAMA YUPO NA ANAFANYA KAZI?