• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

hijja

 1. N

  SIRI ZA IBADA YA HIJJA

  wasifu Je, kuna yoyote aliye ishuhudia Hija na ukubwa wake, Imani na vile inavyotoa mwangaza, makundi mengi namna yanavyomtukuza Mwenyezi Mungu na kumhimidi? Mandhari ya Hija ni ya ajabu na ya kutisha, inawafanya Waumini wafurahi na wenye kumpwekesha wawe na nguvu, na wenye kughafilika...
 2. N

  FADHLA ZA SIKU KUMI ZA MWEZI WA MFUNGO TATU

  wasifu Zama zenye baraka zaidi ni kumi la mwanzo la Mfungotatu, kwani lina daraja kubwa kwa Mwenyezi Mngu (SW) inayo onesha kuwa Analipenda na analipa daraja kubwa. Kumi hilo ni la masiku yenye baraka, yenye mema mengi, yenye maovu machache, yenye daraja za juu, aina mbalimbali ya mambo ya...
 3. N

  Sunna za Umra

  Sizokuwa nguzo na wajibu ni sunna. - Matanabahisho 1. Mwenye kuacha nguzo moja miongoni mwa nguzo za Umra, ibada yake ya Umra haitatimia mpaka ailete. 2. Mweye kuacha tendo moja la wajibu miongoni mwa wajibu za Umra, itamlazimu achinje mnyama (mbuzi au kondoo, au fungu moja kati ya mafungo...
Top