Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,188
Reaction score
9,165
DAARUL MAARIFA DAY 2025

Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu.

Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata kuhamasisha na kuhudhuria katika Maulid hayo ambayo yataanzia tarehe 01 mpaka 03 August.

Tarehe 01/08/2025 saa 1 asubuhi Dua ya ufunguzi na usiku Samai. Jumamosi 02 saa 3 asubuhi Maulid ya akina Mama na Maonyesho ya Watoto wa Daarul Maarif, Saa 2 usiku ni Maulid kwa watu wake.

Na siku ya Jumapili tarehe 03 ni kilele cha Maulid, ambayo saa 10 Alasiri ni Zafa, saa 2 Maonyesho ya Wanafunzi wa Makao Makuu (Bakwata) pamoja na Maulid fupi. Khutba za Viongozi mbalimbali pamoja na Mgeni rasmi.
 

Attachments

  • Screenshot_2025_0725_152728.jpg
    Screenshot_2025_0725_152728.jpg
    224.1 KB · Views: 21
Back
Top Bottom