Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,454
- 10,755
Huyu si kuna madai eti nae ni Mjomba.Proffesional yake kbs miaka amekuwa akiwafanyia watu tiba
Nafikiri umenielewa
Ova

Hapo hitasikia dini na siasa🤣🤣Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
Kama huyo ndio mufti wa Tanzania na Akili ndio hiyo sijui waliobakia yaani wale anaowaongoza wakoje.Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
Ni washenzi tu na wahuni kama wahuni wengine tu.Kuna Utapeli mwingi kupitia dini. Na matapeli namba moja kwenye dini ni hawa mashekhe wa BAKWATA. BAKWATA ilianzishwa na Serikali kwa malengo ya kisiasa, na imebakia hivyo mpaka leo.
Hamna kitu...sema ukishakuwa muft ndy automatically unakuwa na mfumoHuyu si kuna madai eti nae ni Mjomba.
Mufti hana uwezo wa kuivusha bakwata kimkakati....Kama huyo ndio mufti wa Tanzania na Akili ndio hiyo sijui waliobakia yaani wale anaowaongoza wakoje.
Kwa hiyo 'chura kiziwi' kuombewa dua na viongozi wa dini siyo kuingilia siasa ila hao hao viongozi wa dini wakimkosoa wanadaiwa kuingilia siasa !!!Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
well done mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally , kwa maono ya mipango yenye nia njema kwa viongozi wa serikali na viongozi wa dini nchi,Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011

Ni mganga wa kienyeji au mchawi??Proffesional yake kbs miaka amekuwa akiwafanyia watu tiba
Nafikiri umenielewa
Ova
Hapa muda si mrefu Mungu anaingilia kati kama alivyofanya Machi, 2021. Unafunga watu kwa dhuruma, unaua na kupoteza vijana halafu uombewee, ahh wapi.Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
Hakika nakuambia atajikuta ameombea haki subiri tu Mungu hataniwiMBona sijawahi kuona wakiombea haki kwenye hii inchi?
Ni wakati sasa Waislam mnaojitambua mkaachana kabisa kufungamana na Bakwata ambao hawana tofauti na UVCCM, UWT, CWT, nk.Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
UpuuziMufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
Safi kazi iendeleeMufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
View attachment 3307011
SangomaProffesional yake kbs miaka amekuwa akiwafanyia watu tiba
Nafikiri umenielewa
Ova