Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Zuber bin Ally amejikuta katika hali ya aibu
Ni baada ya wageni waalikwa katika harusi ya mwanaye kuanza kuondoka baada ya mpishi na waandaazi kuchelewasha chakula
Tukio hili limetokea leo ijumaa msikiti mkuu Kinondoni.
KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID
Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania
Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane
Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh,
Kwa heshima na taadhima...
Shekhe Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally, amesema kuwa hakuna ukweli katika taarifa zinazosambazwa kwenye Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii zinazoashiria kuwa Wakristo wanawatukana au kuwafanyia fujo Waislam.
Mufti Zuber ameeleza hayo leo wakati akizungumza kwenye...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir Ali amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuhubiri na kulinda amani ya nchi, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa Uislamu na maendeleo ya taifa.
Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa dini mjini Makambako, Mufti Abubakar...
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi...
Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'.
Mufti Mkuu wa Misri Nazir Ayyad Jumatatu alisema "halikuwa jambo la kuwajibika" kwa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) kutoa fatwa ambayo ilisema "Waislamu wote wenye uwezo" wana wajibu wa kufanya...
Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally Mbwana amewataka Waislamu kote Nchini kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vitakavyopelekea uvunjifu wa amani ya Nchi.
Mufti amesema hayo katika Sherehe za Maulid ya Kitaifa iliyofanyika katika Viwanja vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.