Eti kuna umma unaongozwa na so called kiongozi wa dini? PATHETIC
Aombewe na nani? Kwa shida gani? Aache tu pombe kali na kuua raia anaopaswa kuwalinda, ๐๐ nyie๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Aombewe kwani ana mapepo?
Utakuwa umetoka kwenye uzi wa anko t ๐Nimesoma haraka haraka hiyo heading "aombewe". Sijui nimeitoa wapi anko t
Kubwa sana!Kuna tatzo