Zitto kama walivyo watu wengi wa mkoa wake ni opportunist,na huwezi kumuamini kabisa kwa lolote,yeye anaangalia upepo unapovumia,sitashangaa kuona kabla ya 2015 anahamia chama cha Dovutwa[nimekisahau jina] au kile chama kilichoundwa na watu waliojiengua CUF[nacho nimekisahau jina] ili apate upenyo wa kugombea uraisi japo anajua fika hawezi kupata.CHADEMA itafanya kosa kumtegemea Zitto kwenye harakati zake,kwa sisi tunaomjua vizuri Zitto WA 2005 sio Zitto wa sasa hivi,mambo mengi yamepita hapa katikati,na kwa taarifa yenu lile jengo pekee la kitega uchumi pale Kigoma mjini ni la Zitto Kabwe sasa jiulize pamoja na kususia posho huo mtaji wa kujenga ilo ghorofa alitoa wapi?