Muendelezo wa Zitto Kabwe Kuasi chama?

Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!
MKALIMOTO, ZZK anafanikiwa sana kuleta makundi ndani ya chama kama ilivyo ccm,hata wewe ni shabiki wa zito na sio chama.
 
Slaa naye kachemka kwa nni asememe hadharani, kuwa mawasiliano ya ZITTO hayapatikani, hizo ni siri la ndani hakupaswa kusema kwenye jukwaa, hapo ni kuendeleza majungu.
Kwani chama kipo kwa ajiri ya kulindiana siri za ndani?wanachama na wafuasi wa Cdm walijua wazi kua Zitto angekuwepo mkutanoni, kwa hiyo ilikua ni stahiki kwa Dr Slaa kuweka wazi kua mawasiliano na Zitto yamekua hayapatikani ghafla,majungu na unafki ni hivyo ambavyo uliwaza wewe Dr Slaa afanye
 
Wewe itakuwa umetoka kwenye high altitude kama 4900-5950 na sasa Uko kwenye low altitude ya 900-0 ASL kwa Iyo una altitude sickness Kwi Kwi Kwi
Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!
 
Hivi CDM wanahofia nini kutokuwepo kwa ZITTO katika mikutno yao? kwa nini wasitamke kuwa hawamtaki badala ya kumumunya maneno.

Mnafiki anapokua na waerevu na akagundua kwamba wamemgundua kua ni mnafiki uwa anajitenga na waerevu mwenyewe,tena kwa aibu kubwa
 
Unakijua unachochangia au mradi na wewe umechangia?

Mkuu soma ata jina lake tuu utajua ni mtu wa namna gani kachangia

By thatha
ZITTO hakukosea bila shaka ,kwa sababu mkutano haukua halali kutokna na kutopata kibali cha polisi
 
Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!

Toka hapa. Umemsikia NAPE wenu anavyoongea kama gengeni eti " Uyo babu yao CDM . . . . " Mmebaki majivu tu.
 
Slaa naye kachemka kwa nni asememe hadharani, kuwa mawasiliano ya ZITTO hayapatikani, hizo ni siri la ndani hakupaswa kusema kwenye jukwaa, hapo ni kuendeleza majungu.

Yule ni domo kaya kazoea kuropoka tu
 
Leo Zitto Kabwe aliahidi kuwepo kwenye mkutano wa M4C hapa mjini Morogoro,katika hali ya kushangaza Zitto hakuweza kutokea mkutanoni japo aliahidi kutokea hata kama angechelewa,cha ajabu zaidi hata mawasiliano yake yalikuja kupotea mwishoni kutokana na kauli ya Dr Slaa!tunamshukuru kipenzi cha watu J.J.Mnyika,pamoja na uchovu na majukumu aliyokua nayo mchana mjini Dsm,ila alihakikisha amefunga safari na kudhuria M4C hapa Morogoro!Zitto tunapenda kujua huko pamoja nasi au wewe ni kenge ndani ya msafara wa Mamba?wana Chadema wengi hawana imani tena na wewe!na mbinu uliyotumia kupotezea mawasiliano mwishoni wakati ulihaidi kuwepo mkutanoni ni utoto wa hali ya juu
acheni ulimbwikeni nyinyi, agenda ya m4c inatakiwa ieleweke kwanza kuwa ni nini then ndio mlaumu watu, ninavyoelewa ni kwamba watu msiende mikutanoni kwa kiu ya kuwaona viongozi au kiongozi flani , kikubwa ni kwamba watu wawe na kiu ya kusikia wat the propelaz of M4C want to say. je kutokuwepo zito mkutananoni kumekwamisha mkutano usifanyike au je ujumbe na dhamira nzima ya M4C haijaeleweka kwa wanamorogoro, why rushing to blame kabwe, je umeona wap kuwa performance ya kabwe kupungua akiwa bungeni na katika kuisimamia serikali. zito bado ni babu kubwa
 
Mnafiki anapokua na waerevu na akagundua kwamba wamemgundua kua ni mnafiki uwa anajitenga na waerevu mwenyewe,tena kwa aibu kubwa

kwi Kwi Kwi na Hicho ndicho kinachotokea, kilichotokea na kitakacho endelea nimependa ulivo mjibu Mkuu apa chini Tehe Tehe

By thatha
Hivi CDM wanahofia nini kutokuwepo kwa ZITTO katika mikutno yao? kwa nini wasitamke kuwa hawamtaki badala ya kumumunya maneno.
 
Mmemlaumu na wenginne kutoa maneno ya kashfa na kejeli, nadhani tumemkosea haki kwani hakuna anayeweza kujua ni jambo gani limemfanya asihudhurie.

Jamani, Great thinkers, msiwe wepesi wa kulaumu na kuchangia mada bila kwenda kwenye chimbuko!!!!!
 
Cdm na jazba zetu tusipojisahihisha, itatughalimu. Tunapenda kulaumu sana. Zitto kwa upande wangu namuona kuwa ni mtu makini ambaye hupima jambo kabla hajachukua hatua. In short the guy is real wise. Tutamlaumu sana zitto lakini huyu jamaa ni bonge la kiongozi siyo vilaza wetu akina mbowe na slaa ambao wamejaa umimi, ukabila, roho mbaya na uuaji. Yanakuja ya ulimboka sasa ndipo mtakapojua kuwa cdm ni chama cha aina gani. Wanadhani watawin kwa kuchezea maisha ya watanzania na kuogea nuksi zao kwa serikali. Yetu masikio tusubiri watu kuumbuliwaaaaaaa!

umetumwa na magamba
 
Kwa nini mnahaha kumuona Zitto kwenye mikutano ya M4C? Ina maana mnakubali uwezo wake na akikosekana mnapata pigo.
 
Zitto mnafki sana huyu jamaa yani sina imani naye huyu tena afadhari hata Lusinde bwana Matusi awe Rais kuliko Zitto mnafki tuuuuuuu! kwanza ngoja niondoke tu hapa nisije nikapata ban coz nimekereka sana juu ya huyu jamaa leo.
 
acheni ulimbwikeni nyinyi, agenda ya m4c inatakiwa ieleweke kwanza kuwa ni nini then ndio mlaumu watu, ninavyoelewa ni kwamba watu msiende mikutanoni kwa kiu ya kuwaona viongozi au kiongozi flani , kikubwa ni kwamba watu wawe na kiu ya kusikia wat the propelaz of M4C want to say. je kutokuwepo zito mkutananoni kumekwamisha mkutano usifanyike au je ujumbe na dhamira nzima ya M4C haijaeleweka kwa wanamorogoro, why rushing to blame kabwe, je umeona wap kuwa performance ya kabwe kupungua akiwa bungeni na katika kuisimamia serikali. zito bado ni babu kubwa

Unapokua kiongozi ndani ya chama kinachotaka kuleta mabadiliko kwa jamihi fulani basi inakupasa uwe mfano na utoe ushirikiano kwa viongozi wenzako na wanachama wote, hiki ni chama sio familia ya mtu fulani, tumesikia sumu toka kwa Dr, Lissu, Mnyika, Kashindye etc

lengo la M4C linaeleweka, je huyo Zitto Kabwe atakua ni sehemu gani ya mabadiliko kama anashindwa kutoa sumu zake kwenye mikutano ya M4C na anaotaka kuwaongoza wamesha mdoubt?

kwa nini ni yeye na Shibuda tu ndio hawataki kushiri M4C? Narudia tena Chadema ni chama na si mtu mmoja, kinahitaji ushirikiano wa pamoja kuanzia viongozi mpaka wafuasi..try to think big mkuu
 
Leo Zitto Kabwe aliahidi kuwepo kwenye mkutano wa M4C hapa mjini Morogoro,katika hali ya kushangaza Zitto hakuweza kutokea mkutanoni japo aliahidi kutokea hata kama angechelewa,cha ajabu zaidi hata mawasiliano yake yalikuja kupotea mwishoni kutokana na kauli ya Dr Slaa!tunamshukuru kipenzi cha watu J.J.Mnyika,pamoja na uchovu na majukumu aliyokua nayo mchana mjini Dsm,ila alihakikisha amefunga safari na kudhuria M4C hapa Morogoro!Zitto tunapenda kujua huko pamoja nasi au wewe ni kenge ndani ya msafara wa Mamba?wana Chadema wengi hawana imani tena na wewe!na mbinu uliyotumia kupotezea mawasiliano mwishoni wakati ulihaidi kuwepo mkutanoni ni utoto wa hali ya juu

Kwani viongozi wote walikuwepo, au una ugomvi na Zitto?

Acha kuhumu pasipo kujua kinachomsibu, hatujengi namna hii...
 
Ila kiukweli whenever kunapokuwa na M4C Zitto huwa hatokei!
kuna kitu apa si bure
 
Kwani viongozi wote walikuwepo, au una ugomvi na Zitto?
Acha kuhumu pasipo kujua kinachomsibu, hatujengi namna hii...

Mkuu usiye kama wale wenye macho lakini hawaoni, au wenye masikio lakini hawasikii, nimeandika kua Zitto alihaidi kutokea leo lakini hakutokea, pia katika viongozi wote wa CDM, ni yeye peke yake ndio haonekani kwenye mikutano ya M4C, kwa nini wafuasi wamtuhumu yeye na si Mnyika, Lissu, Sugu na wengineo?
 
Back
Top Bottom