Kitendo cha kumuamini sana huyo Dr wako ndo itatufanya tuelewe kuwa ni mumewe. Pili ni kwamba Zitto anajua maana na umuhimu wa kutii sheria bila shuruti, na ametawaliwa na busara zaidi na sio kukurupuka. kiufupi zitto amesoma akaelimika, ila hao top lea wenu Dr na mzee wa mikasino, ni madarasa tu kichwani lkn elimu sefuri. Zitto wasikuburuze hao, tunajua kama ni kuijengea umaarufu chadema wewe ndo Jembe, sasa umewafikisha juu, wanataka kukuchafua. we kaza buti tu mwanangu popote unafiti, hata ukigombea kiti binafsi unakubalika, watu wanaona uadilifu wako baba. achana na hao wakurupukaji.[/QUOTE
Umbumbumbu wako ndio unaokufanya utoe sifa za kijinga......! Kila raheli na Mgombea Binafsi wako. Utamchagua wewe na mashemeji wa Zitto ambao ni dada zako.