Monstgala
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 1,079
- 1,037
- Thread starter
- #41
Nadhani ukiangali huo mfano wako utaona kabisa the perfection view ya hiyo 3D ya electric post haijakuwa determined na time bali na action/motion kwa sababu hapo ulipokuwa mwanzo na kuiona hiyo nguzo ni kama mstari ingebaki hivyo hivyo asubuhi mpaka asubuhi kama kungekuwa hakuna action/movement, muda ungekuwa unazunguka tu, lakini kilichokupa view nzuri ni kile kitendo chako cha kuisogelea ile nguzo, sasa hicho kitendo chako cha kutembea kimekupa Past-Nguzo kama Mstari, Present-Nguzo Duara na ungeweza kupredict future
mimi bado naamini muda ni cycle ambayo ikikosa action inakuwa haina history yaani inakosa Past, Present na Future so muda hupo tu, lakini kitendo ndio kinacho jaribu kuonyesha muda kuwa ni linear
Mkuu Kituko, lakini actions katika universe zipo tu kwa sababu universe ina-expand. Hata mtu huyo angesimama bila kwenda popote muda unaenda mbele regardless of his motion kwa sababu other actions are still going on somewhere else even his heart continue to beat and lungs are inhaling and exhaling the air. These actions continue to give the perception of linear events which their gap of occurrence make us perceive the time.
I am still trying to grasp your cycle concept.