Muda wa ulimwengu na matukio yake tangu mwanzo wake

Muda wa ulimwengu na matukio yake tangu mwanzo wake

Mkuu, mwanzo wa Dunia sio mwanzo wa Ulimwengu bali mwanzo wa Ulimwengu ndio mwanzo wa Dunia.

Mwanzo wa Baba na mama watafuatia watoto, watoto hawawezi anza akafatia wazazi
Wala mimi sikusema kinyume na unachosema wewe, nisome tena unielewe
 
Dunia na Jua vinatakiwa kuwa na umri sawa, vyote vimetokana na kulipuka kwa Jua lingine (supernova). Hii ndiyo sababu iliyofanya sayari zake ziwe na heavy elements kama Gold na zingine. Kwa sasa jua letu limejaa Hydrogen na Helium tu ambazo ni nishati yake.

Kuhusu kutokea kwa mwezi (moon), wanasayansi wanapishana sana. Hata hivyo hiyo theory uliyoitoa ndiyo inayokubarika zaidi. Ila mwezi wetu una umri mkubwa zaidi ya huo ulisema.

Kuhusu kupanuka na kufa kwa Jua letu: Wanasayansi wanasema kuwa, jua litakapoanza kuishiwa nishati litakuwa kubwa na jeupe zaidi. hata hivyo litaweza kumeza sayari mbili tu, Mercury na Venus. Kuna model zinaonyesha kuwa hata Dunia inaweza kumezwa ila si zaidi ya hapo. Kwa hiyo Mars na zingine zitapona dhahiri.
 
Dunia na Jua vinatakiwa kuwa na umri sawa, vyote vimetokana na kulipuka kwa Jua lingine (supernova). Hii ndiyo sababu iliyofanya sayari zake ziwe na heavy elements kama Gold na zingine. Kwa sasa jua letu limejaa Hydrogen na Helium tu ambazo ni nishati yake.

Kuhusu kutokea kwa mwezi (moon), wanasayansi wanapishana sana. Hata hivyo hiyo theory uliyoitoa ndiyo inayokubarika zaidi. Ila mwezi wetu una umri mkubwa zaidi ya huo ulisema.

Kuhusu kupanuka na kufa kwa Jua letu: Wanasayansi wanasema kuwa, jua litakapoanza kuishiwa nishati litakuwa kubwa na jeupe zaidi. hata hivyo litaweza kumeza sayari mbili tu, Mercury na Venus. Kuna model zinaonyesha kuwa hata Dunia inaweza kumezwa ila si zaidi ya hapo. Kwa hiyo Mars za zingine zitapona dhahiri.
itachukua miaka mingapi jia kumaliza hydrogen yake?
 
kwahiyo mkuu jua lazima lije kuwa red giant kama VY cannis au beltegeuse
 
Inasemekana miaka billion 4.5 au billion 5 hivi. Huo ndo uhai uliobaki wa jua letu. Kwa kifupi jua letu lipo katikati ya uhai wake
Nitakuwapo! 4.5 billion karibuni sana
 
Kaka hii maada imekuwa ndefu na labda nikiri kuwa pia najifunza vitu vingi sana humu ndani,
kabla sijaenda mbali ningependa nikujibu hapo juu kwenye nyekundu,
kwa mtazamo wangu Matukio ndio yanatupa muda wa kusema PAst, Present na Future, na kama nilivyosema hapo hawali hiyo past, present na future actually sio time bali ni refference ya tukio na Kama hakuna tukio unalorefer basi huwezi kuwa na Past, present na future

Kama nilivyosema hapo hawali Mimi naamini muda ni Cycle, na labda nisema ni cycle na ndio maana inakuwa ni rahisi kupredict kuwa siku fulani na mwaka fulani Jua litapatwa na mwezi, ni kwa sababu ni mzunguko unaojirudiarudia

Lakini pia nakubali Muda ni linear kutokana na tafsiri ya matukio, nikiwa na maana muda unaoneka kuwa uko linear kwa sababu ya jinsi tunavyoyatafrisi matukio, labda nitoe mfano hapa

tuseme mwaka 2010 SAA SITA MCHANA, eruption imetokea kwenye Mlima Kilimanjaro, na mwaka 2014 SAA SITA MCHANA eruption imetokea Mlima Meru, sasa hapa ukiangalia utaona time inajirudia rudia tu kote ni saa sita mchana lakini sio mwaka mmoja, kuna tofauti ya miaka minne kutoka tukio moja kwenda lingine
maana yake nini?
kwa kuangalia mfuatano wa matukio utaona time ni linear, yaani tukio la pili limetokea miaka minne mbele ya la kwanza, lakini ukiangalia kiundani mwaka 2014 ni mjumuisho wa sekunde, dakika, saa, siku, wiki na miezi iliyokuwa inajirudiarudia (Cycle). siku, wiki na miezi iliyopo kwenye 2014 ndio hiyo hiyo iliyopo kwenye 2010 lakini 2014 ni jumla ya siku wiki na miezi ya 2010,2011,2012 na 2013

so time ni cycle ila tafsiri yetu ya matukio ndio inatuonyea kuwa time ni linear
Hahaha kaka nakuelewa ila nafikir hapa unachanganya... kitu kimoja, a minute,hour,a day, a week, a month , a year... hizi zote ni derivatives za time... a unit measure of time ni second... ni kama pesa tu... utaita mia, elfu, laki, milioni... ila kipimo chake ni shilingi.... space and time can not be in isolation.... ndio maana nikikwambia naomba tuonane... utaniuliza wapi na muda gani... nikisema mtaa wa azikiwe leo saa 8.00 mchana... bado mim na wewe hatutaweza kuonana... kwa vile mtaa wa azikie sio point ni eneo kubwa. Nikiongezea Benjamin mkapa Tower bado patakuwa na shida... inabidi niongezee hapo kwa vile mimi na wew tunapaswa tuonane exactly katika meeting points. So utagundua ili mimi na wewe tuonane katika sehemu tuliyokubaliana lazima katika maelezo yangu kuwe na vitu vinne...(longitude,latitude,altitude and time)... kwa maana kwamba chochote kikiwa hakijakaa sawa hapo huenda tusionane.... imagine u have a clock ambayo inacount muda kwa kipimo cha sekunde... je will it depend na events/matukio ili iwe inaclock?? Je sekunde zitakuwa kwenye cycle????? Think time as a second and not days and nights or weeks....
 
Na hapo ndio tatizo la sayansi, ugunduzi/kitu kinaaminika kuwa sahihi hadi ugunduzi mwingine utakapotokea. Haina mamlaka ya kuaminika kutoa maamuzi ya mwisho.
Sio tatizo bali ndio raha ya sayansi... huku hauambiwi amini tu, ndio maana kuna vitu vinaitwa theories... ndio maana hata Darwin pamoja na kupingwa ila ana mchango wake mkubwa tu... kwani anakuwa ndio ameonyesha njia kwa wengine.... unapotoa kitu ambacho kipo wrong kitapingwa tu...
 
Sio tatizo bali ndio raha ya sayansi... huku hauambiwi amini tu, ndio maana kuna vitu vinaitwa theories... ndio maana hata Darwin pamoja na kupingwa ila ana mchango wake mkubwa tu... kwani anakuwa ndio ameonyesha njia kwa wengine.... unapotoa kitu ambacho kipo wrong kitapingwa tu...

Kama umenielewa vizuri, sipingi sayansi na nimuumini mzuri sana wa Sayansi. Nilichokua nakielezea ni kwamba, inakupa taarifa za wakati kutokana na kiwango cha uelewa, utafiti wa wakati huo. Mwingine anaweza akaja akapinga au kuongeza zaidi kile kinachokua kinaaminika kwamba ni sahihi.
 
How did I miss this?

I wish I had seen this earlier.

Is anybody following Elon Musk and his ideas of populating other planets as an insurance policy against some "Extinction Level Event" ?

In one of the Dr. Asimov SF stories, earthlings manage to populate other planets and even galaxies, but eventually the expansion of the universe and the second law of thermodynamics lowers entropy to the lowest level and there is no escaping the heat death of the universe as it goes through proton decay and eventually the Hawking radiation from black holes peters out all the energy from black holes.

The thought of escaping that heat death is as challenging vis-a vis colonizing Mars as intergalactic travel is challenging vis-a-vis stepping on the doorstep on the way out.
 
Sio tatizo bali ndio raha ya sayansi... huku hauambiwi amini tu, ndio maana kuna vitu vinaitwa theories... ndio maana hata Darwin pamoja na kupingwa ila ana mchango wake mkubwa tu... kwani anakuwa ndio ameonyesha njia kwa wengine.... unapotoa kitu ambacho kipo wrong kitapingwa tu...
Ka element kako huwezi kaficha
 
kama mda ungekuwa cycle basi watu waliopita kama kina hitler wangezaliwa tena
 
kama mda ungekuwa cycle basi watu waliopita kama kina hitler wangezaliwa tena

All the below is from Albert Einstein's General Relativity Theory. If you understand Einsteins Relativity you will understand all the below and more. That is my framework.

For more on General Relativity see General relativity - Wikipedia

Muda kama muda haupo.

Muda ni effect ya different frames of references in motion in spacetime per Einsteins relativity.

Ukiweza kusimamisha kila kitu chenye motion, hakutakuwa na muda popote.

Pia, ukiweza kwenda kwa kasi ya mwanga/ electromagnetic waves in a vacuum, hakutakuwa na muda kwako.Muda utasimama.

By the way, ukiweza kuipita "speed of light in a vacuum", muda utaanza kurudi nyuma. Hapo ndipo time travel back to the past inapowezekana kwa mujibu wa relativity. Utaanza uona ulimwengu ambao vitu vinarudi kinyume nyume kama ukifanya fast rewind kwenye sinema ambayo bado unaangalia.Lakini relativity pia inakataza chochote kupita speed hii. Hii kanuni inaendana na habari za "chronology protection conjecture" see

Chronology protection conjecture - Wikipedia

Kama tungeweza kuuangalia ulimwengu kutoka katika perspective ya electromagnetic waves moving "at the speed of light in a vacuum", tungeona ulimwengu usio na muda. Muda ungesimama.

Kadiri unavyozidi kuongeza kasi na kuikaribia kasi ya mwanga katika vacuum, ndivyo unavyozidi kupunguza kasi ya muda kupita. Ukiweza kuifikia kasi ya mwanga, muda utasimama. Tatizo kwa kitu chochote chenye mass, hata iwe ndogo sana, kuifikia kasi ya mwanga kunataka infinity energy na zero space (effect nyingine ya speed, pamoja na time dilation, ni ukubwa kupungua). Kwa hiyo, kwa sayansi na teknolojia ya sasa, hatuwezi ku accelerate kitu chenye mass to the speed of light in a vacuum per my understanding.

So time remain real for us, even as it is not real to photons.

For more on Time Dilation see Time dilation - Wikipedia
 
Back
Top Bottom