Kila kitu kina exist Now.....hamna past hamna future.
Ni kama kwenye movie theatre,bila kuweka projector then picture ziwe kwenye motion ili muone film/picha otherwise haitakuwa na uhai.
So unapoliwaza tukio la kuchapwa na dingi ukiwa 6 years unalipa uhai tukio ambalo halikuwa na uhai kabla ya kuliwaza.
Tunavipa vitu majina ya past na future baada ya kuvileta kwenye Now.bila ivo haviexist.
Kila ukicheki saa yako inakupa the time now not in the past or future.
Ivo basi kila kitu kinaexist sasa,anaetakiwa kubadilika/kubadilisha frequency ni mimi ili niaccess vitu ambavo with my current frequency siwezi viona au kuviaccess......ni kama mfano channel za mapishi zipo ila mimi ni mechanic,ntaziona saa ngapi wakati nawaza spana muda wote.
All this inamaanisha we create time to exist.
Illusion(time).