Monstgala
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 1,079
- 1,037
- Thread starter
- #21
Kwahiyo mkuu,muda ni kitu halisi au sio halisi?
Au ni kitu halisi lakini sisi tunakiona tofauti?
Au ni kitu halisi lakini ni kwa hapa kwetu duniani tu lakini pia kipo mahali pengine na huko pengine kipo tofauti na hapa kwetu?
Muda ni impression kutokana na tabia za vitu in forward direction ambayo kwa hakika ni tofauti na tabia za vitu hivi katika backward direction. Hii sio maana au approach pekee lakini ni jinsi mojawapo ya kuuangalia muda na ime-base katika second law of thermodynamics. Kwamba tunaona causality situation kutoka kwenye organized state kwenda kwenye more disorganized state. Mfano: Glass inapasuka maji yanamwagika lakini ni ngumu kuona vipande vya glass vinakusanyika alafu yale maji yaliyomwagika yanakusanyika na kuingia kwenye glass. Hii inaitwa entropy na ni kigezo cha kuuona muda ukiwa katika flow ambayo kwa hali ya kawaida tunaona hairudi nyuma. Lakini katika quantum level muda unaonekana unaweza kurudi nyuma au kwenda mbele kunakuwa hakuna ile flow ambayo sisi tunaona ni irreversible.
Mahali pengine ni tofauti na mazingira haya muda ni kitu cha aina nyingine kama physicists wanavyoeleza. Mathematical equations ndio zinaongoza theories nyingi na so far predictions kutokana nazo ndio njia ya mwanzo katika utambuzi. Hivyo kwa equations hizi predictions zake za behaviour ya energy, matter, space and time ndani ya black hole ni nje kabisa ya kawaida. Hapa muda unaminywa pamoja na space matter and energy mpaka kwenye quantum level na una-slow down na kuwa kitu tofauti kabisa. Hivyo our physical world allow time to be seen like we do now na mahali pengine ambapo general relativity haiapply, muda uko tofauti ya tunavyouona.