Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,080
- 12,719
- Thread starter
- #61
Kazi sana...Na wewe unaamini?š¤ Labda kama mpo ndani ila mmeenda sehemu kuenjoy au kukutana hupendwi
Kazi sana...Na wewe unaamini?š¤ Labda kama mpo ndani ila mmeenda sehemu kuenjoy au kukutana hupendwi
HebuHapo umezungumzia self control
Ikiwa unaweza kugongwa kisa kuchezea simu , maana hata ungekuwa hauna simu ungegongwa kwa kushangaa magari.
Simu ni kifaa tu unaweza hata kuizima mwaka mzima .
Issue ni kuwa unabidi kumiliki vitu ila vitu sikumiliki.
Simu kuiweka pembeni hakiwezi ikawa inasaidia .
Kikawaida hata darasani sio Kila mwanafunzi anaweza akawa na concentration na masomo .
Hata ungefundisha vipi
Mambo kama HAYO HAYO ni issue ya akili , na ubongo zaidi and not device n.k.
Kwa sababu samaki ana mbio kumzidi farasiUmeeleweka sister abby.
Lakini sidhani kama kuna mtu ambaye atashika simu wakati wamaongezi muhimu.
Mfano mtu anakuja kwangu anaanza kunipa story eti "nilienda kwa kina ashura. Nikamkuta kavaa kanga tupu. Nikamsalimia, mambo mrembo... Kakaniangalia, kakaanza kurembua. Me nika...."
Sasa hapo kwanini nisishike simu?
ššš.Nimepata picha unaingiza mguuš
Sawa ila mi sio brošBro cm ni ofisi zama hizi, acheni hio mentality, wateja wanataka wakituma mesej ijibiwe on time nakaaje mbali na ofisi wakuu?
Hahaaahaa nimesema bro sababu sija kujibi wewe Kuna jamaa, nimesahahu kum quote, ndo nilikua namueleza, usijal sistaSawa ila mi sio broš
Ni kweli biashara lazima zifanyike ila zisisathuri social interactions zako.
Mahusiano yako na watu
Umenikumbusha demu flani hivi Niko secondary, alikua akitumwa tu namtime wakati wa kurudi ninaye, nilikua nakabana ukutaniMi Kuna jamaa alikuwa anatega njiaani..najua nkipita tu kule ataniona nabadili njia.
Alikua Anajua kunibana ukutani,sijui nijibu Niniš
Mbaya zaidi anaeweka mkono kiunoniš
Niishie hapa
Mzee wake au kakake apite Sasa hapo akukuteUmenikumbusha demu flani hivi Niko secondary, alikua akitumwa tu namtime wakati wa kurudi ninaye, nilikua nakabana ukutani
Alikua anapoteza hadi saa hajafika home.Mzee wake au kakake apite Sasa hapo akukute