Muda huu mlango wa chumbani kwangu umefunguka wenyewe

mikila miwili

JF-Expert Member
Dec 14, 2021
563
553
Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio.

Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?
 
Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio

Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?
Unaogopa wageni bro mikila miwili ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom