Muda huu mlango wa chumbani kwangu umefunguka wenyewe

Tunaishi na roho nyingi zisizoonekana hata mambo yako mengi unayofanya kwa Siri hua kuna roho zinakutizama ila umewekea giza la kutoona labda ungezimia kwa presha hata tunapokula chakula hua hatuli pekee yetu kuna roho tunakula nazo sasa huyo labda ni ndg yako kaja kukusalimia
 
Pleaseee nipo serious
sasa mzee unaona hali n ya kawaida hiyo sepa waachie nyumba yao

kama umepanga basi hiko chumba ndio walikua wanakitumia kufanya mambo yao

kama umejenga basi umejenga eneo lao la mikutano sepa mzee
 
Dar bwana, ina maana unashindwa kutoka nje kuangalia anayehangaika na mlango wako umpige mabanzi, umekatalia ndani.
 
Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio.

Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?
Hukula mke wa mtu brother?
Natafuta chanzo ili nijue
namna ya kukusaidia.
Vinginevyo watakutoa roho
yako kabisa😀😀
 
Fanya hv
IMG_20211114_210910.jpg
 
Niliufunga na funguo nikaacha kwenye kitasa, sasa wakati nikiendelea na shughuli zangu nikaona mlango unafunguka wenyewe taratibu sana, nimeogopa kwani ni mara ya kwanza kunitokea hili. Nimejaribu kuufunga na kuufungua umefunguka kwa kasi sana. Sio siri Nina hofu muda huu, moyo unaenda mbio.

Mlango si mbovu na haujawahi kujifungua automatic, jamani niombeeni nini hiki?
Lipa madeni ya watu ukae kwa uhuru kijana, bila hivo utaendelea kuishi kwa hofu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom