Yaah kwa hilo hata mm[Color= blue]Hata kama kwingine wana boronga but kwa rfa waliweza kupangilia vipindi[/color]
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hewan,Bolingo time leo Jumanne saa tano kamili napoandika ujumbe huu usiku.Rfa nayo imerud au bado
[Color= yellow]Triple A[/color]
Ziko mikoa gani?!Kuna vituo vidogo vya Redio vilikuwa vimefungiwa pia.
1.Jembe Fm
2.Lake Fm
3.140.1 (Kilikuwa kipya)
Jembe nimeisikia leo ipo hewani.
Isharudi mkuu,mi nakula Bolingo time. Nmemaliza kupata kitu EDUCATION-JB Mpiana.
Zipo MwanzaZiko mikoa gani?!
mwanzaZiko mikoa gani?!
Teh teh teh lohMimi nimemmiss Braza K, naye ni msema kweli kama Mkulu
Aaah!!! God god ngoja niwazamie onlineIko hewan,Bolingo time leo Jumanne saa tano kamili napoandika ujumbe huu usiku.
Mkulu=braza kTeh teh teh loh
Tv ya chama hiyo hailipi kodi. Kodi ni kumsifia mwenyekiti tu.Wamelipa tayari ndio maana wako hewani
[Color= blue]kuna Goodmorning africa yaani nikiamka ile alfajiri ilkuwa lazima nifungulie rfa[/color]Yaah kwa hilo hata mm
Nliwapongeza sana
Ntamis sana godfrey kusolwa
[Color= yellow]Triple A[/color]
nawaona star tv live hapa licha ya kuwepo taarifa za kufungiwa kwa kosa la kutolipa deni kwa serikali,je watakuwa wamelipa?
Kwa hiyo ukienda bafuni ni lazima utayakuta matako?Mkuu unauliza matako bafuni?
Asante Yesu, inapigwa gospel muda huu startvIko hewan,Bolingo time leo Jumanne saa tano kamili napoandika ujumbe huu usiku.