Ni kweli ni ndogo, yahitaji akili ya ziada kumuelewa kichaa anasema niniAkili yako ndogo
Kwa hiyo mkuu,bila CCM kodi basi?itakuwa raha.Hana hamu na CCM tena.
Kwani amekufa?ndiyo ajue hukumu ya dhambi ni mauti, alizidi kujipendekeza
kwani huu msemo ni kwa ajili ya marehemu mkuuKwani amekufa?
Aisee!!!!Mlengwa hapa ni clouds media
Na kweli jana nimeona taarifa ya habari kwa mara ya kwanza huenda wamelipaBaada ya kupotea hewani kwa siku kadhaa naona Startv wamerudi hewani.
Je wameweza kulipa deni walilokua wanadaiwa na TRA au wamenegotiate na kufikia muafaka?
All in all heko kwa Diallo kwa kupambana na kufanikiwa kurudisha chombo chake cha habari maana kuna watu walidhani itapigwa mnada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona Mandevu alibyogaragazwa Na Lipumba?Ni kweli ni ndogo, yahitaji akili ya ziada kumuelewa kichaa anasema nini
Kwani mauti ni kwa miti mkuu?kwani huu msemo ni kwa ajili ya marehemu mkuu
Na Lipumba au na Ndugai chini ya maelekezo ya Sizonje? Hivi wewe unadhani Kupora kitu kwa kutumia nguvu ya dola ni sifa?Umeona Mandevu alibyogaragazwa Na Lipumba?
YapHahaha, uko poa lkn
OkeyAisee!!!!
Kodi za ajabu ajabu hazitakuwepo mkuu
Kama Lowassa Na Sumaye walivyokuwa wakipora Mali ya umma kupitia vyeo vyaoNa Lipumba au na Ndugai chini ya maelekezo ya Sizonje? Hivi wewe unadhani Kupora kitu kwa kutumia nguvu ya dola ni sifa?
Guudy
ni TCRA au TRA?Itakuwa wameshaielewana .