Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Mwasisi wa CHADEMA Edwin Mtei amesema CCM wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanaivuruga CHADEMA ili isishike dola lakini ameapa kamwe hawatafanikiwa.
Amesema kuna watu kutoka chama tawala cha CCM wanahakikisha wanatengeneza mifarakano kila kukicha ili kukivuruga CHADEMA.
Mwasisi huyo mwenye heshima na ushawishi mkubwa ndani ya chama chake amesema kitendo cha kusimamishwa na hata kufukuzwa baadhi ya makada wa CHADEMA kimetokana na usaliti ndani ya chama hicho huku wengine wakikubali kutumiwa na CCM.
Source:Mwananchi.
Mzee you are right! Mtandao wao uliopenyezwa unafahamika .Vikao vya wasaliti waliofukuzwa na wengine vinaendelea kufanyika pamoja na mawasiliano ya mara kwa mara.Wajiandae kwa rude shock !
Kwa bahati mbaya wameshindwa kufanya radical departure kutoka mbinu walizotumia awali.Usaliti miongoni mwao unashika kasi.Tuvute subira