Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
ah ah, tunawaachia vijana wa lumumba ii mada muendelee kucheka baada ya kujitekenya kwa ulofa wenu,

kumbukeni vijana walio ktk kanda za chadema wanakula bonus kwa kazi kubwa wanazofanya, mfano tu mmesikia yalifanywa kitendagulo uko bukoba, tmevuna wanaCCM km 2,000 uku wanalumumba wakijitekenya mitandaoni na kucheka
 
Wanaukumbi.

Mwasisi wa CHADEMA, Ewdin Mtei amesema kuna baadhi ya watu nchini wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanafanya njama za kukidhoofisha na hata kukipoteza kabisa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Mtei, alitoa kauli hiyo wakati chama hicho kikiwa katika wakati mgumu baadhi ya viongozi wake kushambuliana kupitia mitandao ya kijamii.

Mtei, aliendelea kusema kuna wana CCM wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanatuvuruga, ili tusishike dola mimi nasema hawawezi.

SOURCE; MWANANCHI NOVEMBA 12, 2013

My Take....

Edwin Mtei, na viongozi wa CHADEMA badala ya kupambana na tatizo wanapeleka lawama kwa CCM huu ni udhaifu mkubwa.
 
Tatizo la mtei ameshindwa kuwasema baadhi ya watu ndani ya chadema lipo wazi kuwa anambeba mkwe wake wengine anawaona hawafai kitu.

unaropoka hujui ulisemalo,ni bora ukaka kimya kuliko kutoa hizo pumba zako.unadhani kila kitu ni cha kuingiza siasa zako za kipuumbav?
 
"Mfa maji haachi kutapatapa" jahazi ndiyo linazama hivyo.
 
Huyu mzee na siasa ni mbali mbali sijawahi hata siku moja kumsikia akiongea la maana kuhusiana na siasa.
Huyu mzee ni mkabila na mdini ilivyochaguliwa tume ya mabadiliko ya katiba alisema imejaa waislamu.

 
Kwahiyo kina Godbless J Lema, Ben Saanane, Mungi, Joshua nassary et al watokea ccm? Mbona hawa wanakesha wakitengeneza migogoro kwakupambana na viongozi wakuu wa chama huku wewe edwin mtei ukiwa faruda na kashata raha mustarehe? You better shout up your mother, big hypocracy

Mambo ya cdm yanakuhusu nini wewe gamba? mtaendelea kuota ndoto za mchana tu lakn wasaliti wanajulikana na soon tutawafukuza.endeleeni kupiga porojo lakn tutawafukuza na cdm itasonga mbele.CHADEMA MWENDO MDUNDO TU HADI MAGOGONI 2015.hutaki kajiue
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi.

Mwasisi wa Chadema, Ewdin Mtei amesema kuna baadhi ya watu nchini wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanafanya njama za kukidhoofisha na hata kukipoteza kabisa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Mtei, alitoa kauli hiyo wakati chama hicho kikiwa katika wakati mgumu baadhi ya viongozi wake kushambuliana kupitia mitandao ya kijamii.

Mtei, aliendelea kusema kuna wana CCM wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanatuvuruga, ili tusishike dola mimi nasema hawawezi.

SOURCE; MWANANCHI NOVEMBA 12, 2013

My Take....

Edwin Mtei, na viongozi wa Chadema badala ya kupambana na tatizo wanapeleka lawama kwa CCM huu ni udhaifu mkubwa.

Kinachonifurahisha ni maCCM kushabikia CDM...asanteni kwa promo, kuna migogoro chungu nzima CCM naona imewashinda, CHADEMA mnaipenda sana na kuionea wivu, jiungeni basi tujue kweli mna uchungu na CHADEMA. Au mmevurugwa na Zitto?
 
Kwanini wameshindwa kumchukulia Lema, Nasary na Ben Saa8 hatua za kinidhamu?????.


.
 
Tatizo la mtei ameshindwa kuwasema baadhi ya watu ndani ya chadema lipo wazi kuwa anambeba mkwe wake wengine anawaona hawafai kitu.

We si ulifukuzwa CHADEMA? mbona roho inakuuma sana kuliko wanachama wa CHADEMA. Dhambi yako ya kuingia kwenye siasa kutafuta maslahi yako binafsi pamoja na kukubali kutumika kuwa kifaranga inaendelea kukutafuna
 
Kwanini wameshindwa kumchukulia Lema, Nasary na Ben Saa8 hatua za kinidhamu?????.


.

Wamemkosea nani nidhamu? Yale ni maoni yao sio ya chama hata ww unaweza msema yoyote kama ulivyofanya now na wala hutasikia tamko toka kwao
 
Mimi nilimuona wa ajabu Mzee huyu alipodai eti tume ya katiba ina "Waislamu wengi"
 
mtei+px.jpg


Mwasisi wa Chadema,Edwin Mtei. PICHA|MAKTABA



KWA UFUPI
Akihojiwa na gazeti hili, Mtei alisema kuna baadhi ya watu kutoka Chama Tawala cha CCM

wanahakikisha wanatengeneza mifarakano kila kukicha ili kukivuruga Chadema.



Mwasisi wa Chadema,Edwin Mtei amesema kuna baadhi ya watu nchini wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanafanya njama za kukidhoofisha na hata kukipoteza kabisa chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Mtei,alitoa kauli hiyo wakati chama hicho kikiwa katika wakati mgumu baada ya baadhi ya viongozi wake kushambuliana kupitia mitandao ya kijamii, huku aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Arusha,Samson Mwigamba akisimamishwa kwa madai ya kukiuka kanuni za chama hicho.

Akihojiwa na gazeti hili, Mtei alisema kuna baadhi ya watu kutoka Chama Tawala cha CCM wanahakikisha wanatengeneza mifarakano kila kukicha ili kukivuruga Chadema.

Alisema mara baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa kauli kuwa huenda CCM ikang”oka mwaka 2015, baadhi ya makada na viongozi wameanza kukesha wakifanya mbinu ya kukivuruga ili Chadema kisishike dola.

“Kuna watu wa CCM wanakesha usiku na mchana kuhakikisha wanatuvuruga, ili tusishike dola mimi nasema hawatuwezi”alisema Mtei

Hatahivyo,alisema kitendo cha kusimamishwa na hata kufukuzwa baadhi ya makada wa Chadema kimetokana na usaliti ndani ya chama hicho huku wengine wakikubali kutumiwa na CCM.Chanzo.Mwasisi awashukia





Upuuzi
 
Tatizo la mtei ameshindwa kuwasema baadhi ya watu ndani ya chadema lipo wazi kuwa anambeba mkwe wake wengine anawaona hawafai kitu.

Mnajitahidi sana kuwaaminisha raia kuwa nyekundu ni nyeusi, poleni kwa kazi ngumu inayowakabili, bado watu wana akili za kubainisha mambo na sio lazima sana mmalize muda wenu kugeuza na kutengeneza habari ifanane na mnavyotamani, mna kazi kubwa saaaaaana
 
.....Hatahivyo,alisema kitendo cha kusimamishwa na hata kufukuzwa baadhi ya makada wa Chadema kimetokana na usaliti ndani ya chama hicho huku wengine wakikubali kutumiwa na CCM.Chanzo.http://www.mwananchi.co.tz/habari/K...adema/-/1597296/2069764/-/p5ied8/-/index.html


Zitto Kabwe shared Fungo Augustus's status.
11 hours ago
Tumeshajua huyo anayejiita Theo mutahaba ni mganga njaa mmoja aliye karibu na watu wenye nyadhifa. Jina hilo feki lakini hana akili kwani katumia kompyuta yake na kirahisi teknolojia imemnasa. Mwisho wa uongo ni aibu. Mahakama na uchunguzi makini utaokoa watanzania dhidi ya wanasiasa waongo. Vifaranga na mama zao watawajibishwa kisheria na jamii

fungo augustini shared


TUJIULIZE NA KUTAFAKARI: Ikiwa, Kwa mujibu wa Sheria ya Usalama wa Taifa Na. 15/1996 ni wajibu wa TISS kukusanya, kuchunguza, kuchambua na kuhifadhi taarifa za kiuchunguzi/kijasusi ambazo ni hatarishi kwa usalama wa taifa, na kwamba baada ya kupata taarifa hizo wataishauri serikali au taasisi husika ya serikali(s. 15); IKIWA, Kwa Mujibu wa kifungu cha 16 cha sheria hiyo ni marufuku kwa mtu yeyote ...Twitter
 
Mwenye saccos ameibuka na tuhuma dhidi ya jirani akisahau wanae wanaomvuruga ndani..poor him
 
Chadema ni wachumia tumbo,,watu wa deal na kusaka utajiri,,na hii nchi itaharibiwa na watu wa namna hii wenye uchu wa madaraka na pesa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom