Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna baadhi ya watu kutoka chama cha kijani wakishirikuana na washirika wao ndani ya chadema, kuvuruga mipango yote iliyowekwa, na kingine wati fulani wanatoa matamko kwenye vyombo vya habari halafu wanataka chadema itoe maelezo,
Chadema hakuna mvurugano bali uko kwa wasaliti ndio maana ripoti iliyotolewa ilikua ya personal issue sio chadema.
Wakajipange na MP7.
Chadema hakuna mvurugano bali uko kwa wasaliti ndio maana ripoti iliyotolewa ilikua ya personal issue sio chadema.
Wakajipange na MP7.